Wakuu msituchoke , tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa Chadema inayoitwa OPERESHENI HAKI , hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi .
Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi ikiongozwa na Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe , ambaye anaonekana hapa chini akisaini Kitabu cha Wageni .
View attachment 1808067
Endelea kutufuatilia kwa taarifa za yatakayojiri .
Mungu ibariki Chadema