Freeman Mbowe na Viongozi CHADEMA jiteteeni juu ya hoja hizi za kupotea kwa Ben Saanane

Hizi zako Ni harakati za kada wa Chama cha mapulizo
 
Ukweli ni lazima ufahamike mapema pamoja na kwamba mwenyekiti yuko safari lkn ofisi ipo maelezo yanatakiwa yuko wapi kwa faida ya familia chama na uma kwa ujumla.
 
NI VYEMA KUTUMIA NGUVU NA AKILI ZETU KUWAAMBIA WANANCHI KWA NINI MAISHA YAMEKUWA MAGUMU MTAANI ILI WASIICHAGUE CCM UCHAGUZI UJAO, KULIKO KUMFICHA MTU NA KUTANGAZA KAPOTEA AINA MAANA YOYOTE.
 
Inaumiza sana aiseee. Polisi waanze na Mbowe pamoja na huyo dada anayejiita Hilda Newton
Mkuu lizaboni nadhani una mawasiliano ya karibu na system si ufanye yako mbowe akodiwe ndege kurudi nyumbani fasta na awekwe lupango na dhamana anyimwe kama lema.maana kupotea kwa ben ndo sababu ya kuchelewa kwa tanzania ya viwanda.

Yaleyale ya chacha wangwe.
 
Haizekani wakati tanzania ya viwanda imekaribia halafu ben apotee,lazima mbowe ni mtumbue maana bila ben hatuezi jenga tanzania ya viwanda.

Nadhani kwa upande wa pili hii habari ingebidi iwe njema kwao maana wanaamini kua ben alikua ni mchochezi na anae mdharirisha aliyetukukaaa.
 
Ninaamini hivyo ni moja kati ya mbinu zao feki za kisiasa na ndo maana Mbowe , Lisu wakasepa ndo likaibuka hili, Mbunge mmoja wa CCM alisema Chama cha upinzani kikishindwa Uchaguzi mara tatu kinageukia Ugaidi na ni kweli kwani hawana cha kuwashawishi Wananchi tena!

Ndo maana wanakuja na Habari feki kwamba kauliw, nani amuue huyo mtu na kwa lengo gani hasa? Hawa watu wanataka kutuchelewesha tu, Serikali yetu msiwape hiyo nafasi!
 
hakuna chama cha ovyo kama chadema, wanafanana na bangibangi hivi,wahuni ni wengi
 
Kama aliyoandika Lizaibon ni ukweli basi Chadema wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Kwani Mwangosi aliuwawa kwa lengo gani?
 
Yaani hata wewe hujui alipo? Umemiss nini?

Anaejua alipo ni yule mwenye phd fake
 
Ccm.acheni janja janja.tunajua mmemteka kamanda.yule sio chizi mpaka apotee njia.tunajua huo ni mpango wenu.ila malipo ni hapahapa duniani
 
@Lizabon unatafuta uteuzi ww kama yupo south africa mbona wameenda ofisi za uhamiaji wakaambiwa hakuna mtu aitwaye ben saanane aliyeenda nje ya nchi?
inamaana south africa huko alipaa??
 
Wengine wanaunganisha na maono ya yule wa arusha. jeshi la mafisadi lishindwe na kulegea.
 
Jeshi la mafisadi kamanda wao ni maMvi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…