Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Duuh! Jamaa wataalamu sana wakuunganisha dots. Yangu macho ngoja nisubir nione nini kitatokea
 
.
IMG-20210818-WA0012.jpg


Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Sabaya yupi ??, Kweli TZ tupo uchumi wa Kati,

Hii kitu hii, Mungu asivyo na mchezo Kuna watu wataanza ugua vifafa, maana kila tukiwaonya wanafiki utani, Twende tu mda ni mwalim
SABAYA unae mjua.
 
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.
Mahakamani lazima uthibitishe pasipo shaka kwamba walitaka kumuua, huwezi ongea maneno matupu ukaeleweka
 
tulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..
Mbowe umafia tu amefanya sana otherwise CHADEMA ingekufa toka 2009. Lakini nachopinga hawezi kwenda front mwenyewe lazima angetuma aides wake kma kina munishi au mrema et al ili asiwe na direct contact in care mission ikifeli.

Na mara nyingi issue kubwa kma hii una outsource mercenaries hta wa Kenya huko ila sio eti hao hao walinzi wako uwatumie ilihali siku mkikosana watakuchoma!!!

Mbowe anaweza kuwa na madhaifu mengine ila hawezi kuwa dull kwa level hii.
 
Siasa za bongo ni ngumu sana

Siasa za Hai ni hatarishi zaidi

Kuna siku tunawexa kushuhudia mtuhumiwa wa ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha akiwa shahidi wa Jamhuri kwenye kesi ya Ugaidi

HKL ni tamu sana bwashee.

Sheria ni msumeno!
 
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.
Yaani wafanyabiashara aliowapora mali au wahujumu uchumi wasimuue ila politician ndio amuue ambaye anategemea kura za wananchi na sio appointment??

This doesn't add up.... Maana Sabaya angeuwawa obvious angekamatwa Mbowe kutokana na uhasimu wao so hawezi kuwa blunt hivyo.

Trust me kma mbowe alipanga kumuua unadhani JPM angemuacha? Si wangemuwahi na SMG mkanda mzima ili kuprove a point.

Sabay kashutumiwa kuvamia mfanya biashara ssa whether Mbowe alitaka kumuua or not inajustify vipi kuvamia biashara bila hta jurisdiction ya mkoa husika kujua? Tena kwa kutumia mabaunsa wako na sio task force ya FIU au hta TRA basi!!
 
Mbowe umafia tu amefanya sana otherwise CHADEMA ingekufa toka 2009. Lakini nachopinga hawezi kwenda front mwenyewe lazima angetuma aides wake kma kina munishi au mrema et al ili asiwe na direct contact in care mission ikifeli. Na mara nyingi issue kubwa kma hii una outsource mercenaries hta wa Kenya huko ila sio eti hao hao walinzi wako uwatumie ilihali siku mkikosana watakuchoma!!!

Mbowe anaweza kuwa na madhaifu mengine ila hawezi kuwa dull kwa level hii.
hao walinzi wake tangu wakamatwe hajawahi kuwaongelea popote ndiyo maana wameamua kumchoma boss wao na haowatakuwa mashahidi pia utaona
 
Kutoka Kisutu, Mbowe anashitakiwa kwa makosa mengi ikiwemo kula njama na kusabisha majeraha kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya Hai, Lengai Ole Sabaya

Kazi ipo...

Kwa huu utoto ulioonyeshwa hapo mahakamani na serikali, sioni ni vipi wazungu wataacha kuendelea kutuita manyani.
 
tulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..

Yaani huo use@@nge ndio unautolea haya maelezo? Polisi wamejaza magari mafuta, kaletwa na ndege kisha wanasema kafanya ugaidi kwa kutoa laki 6? Acha tu wazungu waendelee kutuita manyani, sio kwa upuuzi huo. Yaani ni igizo la kizee ile mbaya. Hata kujadili huo utoto naona kinyaa.
 
Back
Top Bottom