Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Sabaya yupi ??, Kweli TZ tupo uchumi wa Kati,

Hii kitu hii, Mungu asivyo na mchezo Kuna watu wataanza ugua vifafa, maana kila tukiwaonya wanafiki utani, Twende tu mda ni mwalim
Sio tu kuugua na KUFA KABISA.
 
watanyooka tu walinzi aliwatelekeza walipo kamatwa wametoa siri zooooooooooooteeee

1629721090166.png
 
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.

Hii nimeihisi pia, kuna kitu kipo nyuma kinakuja.
 
Kweli mama anaupiga mwingi sana hata anapitiliziaa nje uwanja bado anaupiga tu
 
Hizi siasa hatari sana.Sabaya yupo Arusha mahabusu akishutumiwa kupora kwa kutumia silaha bila shaka atakuja kuwa shahidi wa kesi ya Mbowe kuja kuthibitisha alitaka kudhuliwa na Mbowe.
emoji23.png
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.
Mahakamani lazima uthibitishe pasipo shaka kwamba walitaka kumuua, huwezi ongea maneno matupu ukaeleweka
Yes upo sahihi kabisa. Na Sabaya alisema ushahidi anao na aliuwasilisha kwa IGP. Hivyo wacha tusubiri uamuzi wa mahakama maana IGP bado hajatoa ushahidi wake dhidi ya madai ya Sabaya.
 
Yaani wafanyabiashara aliowapora mali au wahujumu uchumi wasimuue ila politician ndio amuue ambaye anategemea kura za wananchi na sio appointment??

This doesn't add up.... Maana Sabaya angeuwawa obvious angekamatwa Mbowe kutokana na uhasimu wao so hawezi kuwa blunt hivyo.

Trust me kma mbowe alipanga kumuua unadhani JPM angemuacha? Si wangemuwahi na SMG mkanda mzima ili kuprove a point.

Sabay kashutumiwa kuvamia mfanya biashara ssa whether Mbowe alitaka kumuua or not inajustify vipi kuvamia biashara bila hta jurisdiction ya mkoa husika kujua? Tena kwa kutumia mabaunsa wako na sio task force ya FIU au hta TRA basi!!
Nafikiri wewe umedandia treni kwa mbele.

Sisi hatujasema kutishiwa kuuawa kwa Sabaya kuna justify makosa yake mengine aliyofanya. No, tunachokisema sisi ni utetezi wake katika issue ya yeye kutembea na silaha pamoja na walinzi.

In one way or another, these allegations of Sabaya will incriminate Mr. Mbowe in his charges for terrorism.
 
Tulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..
Sisi wengine tulionya humu kwamba kesi ya Sabaya siyo ya kawaida na kwamba ipo haja ya Sabaya kupewa ulinzi huko aliko
 
Mbowe umafia tu amefanya sana otherwise CHADEMA ingekufa toka 2009. Lakini nachopinga hawezi kwenda front mwenyewe lazima angetuma aides wake kma kina munishi au mrema et al ili asiwe na direct contact in care mission ikifeli.

Na mara nyingi issue kubwa kma hii una outsource mercenaries hta wa Kenya huko ila sio eti hao hao walinzi wako uwatumie ilihali siku mkikosana watakuchoma!!!

Mbowe anaweza kuwa na madhaifu mengine ila hawezi kuwa dull kwa level hii.
Sio lazima watoke mbali, hao hao wakifanikisha na wao wanapelekwa kutembea kuzimu.
 
Uzuri Mahakamani hakuna umbea ni facts tu basi, muda utasema ukweli.
 
Back
Top Bottom