Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Sabaya yupi ??, Kweli TZ tupo uchumi wa Kati,

Hii kitu hii, Mungu asivyo na mchezo Kuna watu wataanza ugua vifafa, maana kila tukiwaonya wanafiki utani, Twende tu mda ni mwalim
Sio tu kuugua na KUFA KABISA.
 
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.

Hii nimeihisi pia, kuna kitu kipo nyuma kinakuja.
 
Huyu sabaya alitaka akate watu masikio Kisha apewe mvinyo.ukifanya hayo lazima utafutwe.
 
Kweli mama anaupiga mwingi sana hata anapitiliziaa nje uwanja bado anaupiga tu
 
Hizi siasa hatari sana.Sabaya yupo Arusha mahabusu akishutumiwa kupora kwa kutumia silaha bila shaka atakuja kuwa shahidi wa kesi ya Mbowe kuja kuthibitisha alitaka kudhuliwa na Mbowe.
Sabaya katika moja ya utetezi wake alishasema mbele ya hakimu kuwa kuna watu walikuwa wanataka kumuua ndiyo maana alikuwa anatembea na silaha na walinzi.

Ukiunganisha dots utapata majibu ya nini kitafuatia.
Mahakamani lazima uthibitishe pasipo shaka kwamba walitaka kumuua, huwezi ongea maneno matupu ukaeleweka
Yes upo sahihi kabisa. Na Sabaya alisema ushahidi anao na aliuwasilisha kwa IGP. Hivyo wacha tusubiri uamuzi wa mahakama maana IGP bado hajatoa ushahidi wake dhidi ya madai ya Sabaya.
 
Nafikiri wewe umedandia treni kwa mbele.

Sisi hatujasema kutishiwa kuuawa kwa Sabaya kuna justify makosa yake mengine aliyofanya. No, tunachokisema sisi ni utetezi wake katika issue ya yeye kutembea na silaha pamoja na walinzi.

In one way or another, these allegations of Sabaya will incriminate Mr. Mbowe in his charges for terrorism.
 
Tulishangiliana sana kesi ya Sabaya kumbe ilikuwa ndoano ile...tusifanye masikhara sana unawezakuta majamaa yanaushahidi mtu akaoga miaka hapa...tusiwaamini sana wanasiasa na kujiaminisha sana kwao..
Sisi wengine tulionya humu kwamba kesi ya Sabaya siyo ya kawaida na kwamba ipo haja ya Sabaya kupewa ulinzi huko aliko
 
Sio lazima watoke mbali, hao hao wakifanikisha na wao wanapelekwa kutembea kuzimu.
 
Uzuri Mahakamani hakuna umbea ni facts tu basi, muda utasema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…