Freeman Mbowe na wenzake watuhumiwa kula njama na kumdhuru Lengai Ole Sabaya

Sabaya aliiambia mahakama kule Moshi, "alikuwa anaishi kama mkimbizi baada ya kutishiwa maisha...hivyo alikuwa akiishi kwa kujificha ficha na taarifa hizo mamlaka za juu zilikuwa zikifahamu na vyombo vya dola vikifahamu.. " haya maelezo ya Sabaya tuyazingatie sana na mkumbuke alikuwa mtumishi wa umma na kama kweli alitishiwa maisha ni kwamba alitishiwa kama mtumishi wa umma aliyekuwa akitimiza majukumu yake...
 
hahaaa vyovyote mtakavyosema lakini mbowe ni gaidi tu subirini mashahidi 24 na vielelezo kadhaa
Inavyoonekana wanapwaya, enenda ukakusanye na kuchukua na wenzio wa 'aina' yako mkaongeze nguvu ya kuokoteza ushahidi na vielelezo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nacheka sio mazuri. Ila hakuna namna ukilia, ukauzunika utajiongezea mstress tu yasiyo na sababu.
No way out, ntafurahi kadri ntavyoweza hata ntakapoumizwa, sitoruhusu uzun ndani yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…