Andelee na safari ya kuelekea Chauma. Hakuna haja ya yeye kwenda mahakamani ili aonyeshe mshikamano wa kinaa.Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
umemkosea sana MboweAndelee na safari ya kuelekea Chauma. Hakuna haja ya yeye kwenda mahakamani ili aonyeshe mshikamano wa kinaa.
hawezi hata kujaribu huyo, ana hasira kikoba chake kuingia dhoruba[emoji57], sasa sio kikoba tena bali ni chama ya demokrasia na maendeleo.Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
Ndiyo mida yako hii ya kutoa boko umeshalewa pombe za mchana.Wagalatia wana roho mbaya tofauti na muslim
KWA MATUSI ALIYOKUWA ANAMTUKANA LISSU AENDE KUFANYA NINI ? ACHA ALIYE NA WA KWAO ALIKKUWA ANAMDHARIRISHA BILA KHURUMA AENDE KUFANYA NINI?Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
ni muhimu sana kutoa fursa na nafasi kwa watu kufanya mabo yao kwa uhuru.Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
Mbowe siyo sababu ya Lisu kukamatwa. No reform no election ni agenda ya chama siyo ya Mbowe wala Lisu.Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
Mbowe ni Chaga na sifa ya Chaga unaokua.Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
Sijasema Mbowe ndiye sababu ya Lissu kukamatwa, nimesema agenda ya no reform no election baada ya kuchukuliwa serious na Lissu ndiyo sababu ya kukamatwa, hiyo ajaenda ilianza wakati wa Mbowe.Mbowe siyo sababu ya Lisu kukamatwa. No reform no election ni agenda ya chama siyo ya Mbowe wala Lisu.
Mbowe kwa mazingira yaliyopo siyo mwehu aende pale mahakamani.
Kuna watu wanatamani Mbowe asiishi kabisa, wewe unamtaka aende mahakamani humtakii mema.
Kwahiyo mama aliyemfunga Lissu Ni Muslim ana roho nzuri. Sawa chawa wa mama.Wagalatia wana roho mbaya tofauti na muslim
Shehe Ponda huwepo popote kwenye matatizo bila kujali itikadi 😁Ndiyo mida yako hii ya kutoa boko umeshalewa pombe za mchana.