Freeman mbowe NI wakati sasa wakuachia madaraka pamoja na kashifa zote ulizonazo zakutumiwa na Abdul

Freeman mbowe NI wakati sasa wakuachia madaraka pamoja na kashifa zote ulizonazo zakutumiwa na Abdul

RWANDES

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,788
Reaction score
4,401
Kuna nyakati watu wengi walikuwa wakisema mbowe ni wakala wa ccm mda mrefu watu wengi walibisha hususani machawa wake ambao kwa sasa ndoo wanaompigania kugombea tena kiti cha mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo.

Mbowe asichokijuwa Tundu lisu ana clip zote zinazoonesha wenje kwenda na Abdul nyumbani kwake kumpa rushwa ili asiieseme Sana serikali madhaifu yake .

Mbowe asichokijuwa NI kwamba fedha zote alizopokea kutoka ccm lisu anataarifa nazo na mda wowote ataweka hadharani

Mbowe asichokijuwa NI kwamba wajumbe wa chama wamemchoka na maigizo ambayo amekuwa akifanya kwa miaka mingi kujinufaisha kupitia chama bila kuweka misingi imara.

Mbowe asichokijuwa NI kwamba kuendelea kunga'nga'nia madaraka chama kitapoteza sifa ya kuitwa chama cha demokrasia
-Kama mbowe anashawishiwa na wanachama kugombea nafasi ya mwenyekiti je akiwa raisi akaeendelea kushawishiwa mtu huyu hawezi kuachia madaraka kwa miaka yote atakuwa mseveni wa Uganda na kwingineko.

Mbowe chama kinakuhutaji 21yrs inatosha nga'tuka Achia wengine mchango wako utaenziwa.
 
Lisu alichosema kuhusu mafuriko ya mbowe nyumbani kwake na jeshi LA POLISI kwa ujumla
 

Attachments

  • Chadema in Blood - Tundu Lissu - 9368835299806634(HD).mp4
    16.7 MB
Back
Top Bottom