Pre GE2025 Freeman Mbowe: Sina tabia ya kumshambulia kiongozi mwenzangu hata napokuwa siridhiki, Katiba kumbana Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Culture ya kumvumilia endelee kula pesa za chama kwa kivuli cha Uenyekiti?
Culture ya kumvumilia kutumia vibaya pesa za chama?
Culture ya kuto kutaka demokrasia itawale ndani ya Chama?
Culture ya kuruhusu rushwa kutawala ndani ya Chama?

Lisu kama Makamu kamvulia sana Mbowe, zaidi ya miaka 20 kaona mambo mengi maovu/madudu ya mwenyekiti wake, sasa ni muda wa kuyasema yote hadharani ili wanachama na wananchi wote wamuelewe Mbowe jinsi alivyo kwenye uongozi.
 
Katika kitu Mbowe kajaaliwa ni kariba ya kuelezea jambo, anaweza elezea jambo gumu kwa lugha rahis na wote mkamwelewa!

NB; Sultan Mbowe astaaafu inatosha aruhusu damu changa
nadhani hiyo sifa ndio iliyombeba akapewa kibarua na mfumo. sasa anawamaliza wenzake.
 
Lissu kwa maisha ya huku kitaa wahuni "tunawaita mdomo wazi"...
Maana yake mtu asie na siri wala kifua cha kuchagua kipi azungumze kipi aache.
Domo wazi lina faida na hasara zake hasa likiwa la mwanaume. Ila hasara ni nyingi.
 
Erythrocyte Muiteni Lisu mmkanye, to the worst side msimamishe uanachama for say 6 months, the mpate muda wa kutafakari naye!
Kirahisi hivyo!! Wamkanye kwani amefanya kosa gani?

Ungemshauri Mbowe apumzike, tamaa yale ya madataka inakichafua chama. Miaka 21 upo kwenye uongozi, na bado unataka uendelee! Kama umeshindwa kudeliver kwa miaka 21, unadhani utafanya maajabu nfani ya miaka 5? Tunatakiwa kufahamu kuwa uongozi siyo ajira.
 
Kuropoka hovyo, kama hulioni hilo basi.

Why Mbowe apumzike? Ni haki yake kikatiba kuongoza mpaka atakapotaka yeye kutokana na kura za uchaguzi.
"Ni kichaa peke yake atasema Mbowe hana mchango kwenye chama" by Mbowe akihojana na Kikeke
 
Reactions: Tui

sultan avuliwe nguo tu, maana hamna namna. Akijidai kuleta viburi abebwe na jinai kortini. murder nyingi tu
 
A very good observation.
1. Muiteni Lisu kwenye vikao vyenu.....displinary platform ya chama
2. To the worst side,unlikely one though, fukuza takataka
Ukiambiwa unazidi kuchanganyikiwa kadri siku zinavyokwenda unarusha vijitusi ambavyo (hata hivyo) si kila mtu anaviogopa.
 
Naunga mkono hoja.Nami nimemsikiliza na kuamini yote uliyosema.
 
Kweli tabia za Lissu zimemkera mno Mh.Mbowe.

Retired Lusungo JokaKuu zitto junior
Apishe, lissu mbona hajawahi "mfokea' hivi tokea aanze Siasa in fact kwenye issue ya Zitto, Slaa, Lowassa kote huko Ali-side naye.

Lissu amekua hivi maana ameona hakuna namna zaidi ya kumuanika ili watu wapate sababu ya kumchagua. Ila angesema anastaafu hakuna namna Lissu angemshambulia Mbowe kwa lolote.

Huyu mzee hata akishinda ameshapoteza credibility and chadema will never be the same
 
Mbowe amekiri kuwa mara kadhaa amekuwa akikaa na Makamu wake, Tundu Lissu na kujadili mambo yanayohusu Chama na baadae anakuja kuzisikia taarifa hizo zimetoka nje.
Kwahiyo watamuengua ili aliyebaki apite bila kupingwa
 
Katika kitu Mbowe kajaaliwa ni kariba ya kuelezea jambo, anaweza elezea jambo gumu kwa lugha rahis na wote mkamwelewa!

NB; Sultan Mbowe astaaafu inatosha aruhusu damu changa
Damu change isubiri Hadi ikomae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…