Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

Sio kweli kuwa wanaodai katiba mpya ni wanaharakati tu, kwani sioni kama nao ni wanufaika wakubwa, bali ni mwananchi wa kawaida kabisa!!na wanachi mbona walishatoa maoni yao kupitia tume ya warioba?ili kilichotokea kila mtu anajua nani ni mchawi (CCM), chama tawala ndio kizingiti kikubwa , kwani hawako tayari kuona madaraka ya RAIS, yanapunguzwa!!na kuwe na tume huru ya uchaguzi, matokeo ya rais yahojiwe mahakamani, teuzi za upendeleo zisiwepo, mbunge aweze kuwajibishwa na wapiga kura wake?!!kweli kwa haya machache tu ccm watakuwa tayari kuyaona yanafanyika?
Hivi leo tuseme ile katiba ya warioba ipitishwe kama ilivyo nani atakuwa mhanga mkubwa??kweli kuna mwananchi ambaye hataki kuona hayo?mtu unawekwa mahabusu miaka, huku DPP, anasema kirahisi tu ushahidi bado haujakamilika!!Kwa Afrika kumwambia kiongozi aliyeko madarakani akubali katiba kutoka kwa wananchi anaona ni sawa na kumshika MAKALIO!!
Hata hao upinzani wakiingia madarakani hiyo katiba wanayoipigania wataona tena ni kero kwao, hao ndio wanasiasa, lakini kama taifa likiamua katiba haitaweza kuchezewa chezewa tu.
 
Nashangaa kuona mnazjibu hoja kwa kutaja uvyama!!huu ni ubaguzi wa wazwaz!! Kwani wakat katiba hii ilyopo inatengenezwa wewe ulikuepo?je waliotengeneza hawakua ni wanachama wa CCM? Katiba sio jambo la uvyama ni jambo la Mstakabali wa nchi Basi!!
 
Si kweli kwa sababu tayari kuna maoni ya wananchi wa Tanzania nzima yaliyokusanywa na Tume ya Jaji Warioba. Hayo ndiyo tunayodai yatekelezwe!
 
W
Si kweli kwa sababu tayari kuna maoni ya wananchi wa Tanzania nzima yaliyokusanywa na Tume ya Jaji Warioba. Hayo ndiyo tunayodai yatekelezwe!
YATATEKEREZWA NA AKINA NANI?? KUMBUKA MWAKA 2014 TULIKAA PALE DODOMA KILICHOTOKEA NIMVUTANO ULIOJAA MASILAHI YA KIVYAMA MPAKA MWISHOWE IKAWA MACHAFUKO, WATU WAKAPIGA FEDHA ZA WALIPA KODI NA WALA KATIBA HAIJAPATIKANA HADI LEO. MAONI YANGU NIKWAMBA HAWA WANASIASA AU WANAHARAKATI WENYE MISIMAMO YA KIVYAMA VYAO WASIHUSIKE KABISA KWENYE MCHAKATO WA KATIBA KWANI WATAISHIA KUVUTANA TUU KAMA KIPINDI KILE. WANAOTAKIWA KUSHIRIKI MCHAKATO WA KATIBA WATAFUTWE WANAHARAKATI HURU KABISAA, HAO NDIO WATAKAO SIMAMA NA WATANZANIA KUTULETEA KATIBA MPYA. HATA LEO IKATOKEA TURUDI KWENYE ULEMCHAKATO WA KUJADILI RASIMU YA WALIOBA LAZIMA TUTAPIGANA TUUU KWAKUWA KILA MUMOJA ATATAKALAZIMA KUWEKA VIFUNGU VYENYE MASILAHI YA CHAMA CHAKE.
 
Nadhani Taifa lolote linapaswa kuwa na vipaumbe vyake je watanzania wengi leo kipaumbele Chao NI katiba ,? Maana tuache kuchezeshwa kwata na maslahi ya watu wachache wenye urohowao ili tutoke hapa tunahitaji Nini zaidi
Tunahitaji katiba mpya na tume huru ya uchaguzi
 
Waliotoa ni wananchi ila wanaoleta sekeseke niwanaufipa. Kwa maaana hiyo mchakato huuu ni batiri kwakuwa katiba itajaaa matakwa ya uchadema ambapo nihatari saaanaaa.
Kwa fillies zako unadhani wajumbe wa kuandika katiba watakuwa viongozi wa Chadema? Mbona mnafikiri kinyume nyume au tunajadili na underage.
 
Naomba wanasiasa msithubutu kuzungumzia katiba ya wanainchi, nyinyi hangaikieni katiba ya chadema hapo sawaa. Katiba ya wanainchi italetwa na watanzania wasio na mihemko ya uchamaa.
 
Una uhakika kua hakuna mwananchi anaehitaji?
 
Nadhani Taifa lolote linapaswa kuwa na vipaumbe vyake je watanzania wengi leo kipaumbele Chao NI katiba ,? Maana tuache kuchezeshwa kwata na maslahi ya watu wachache wenye urohowao ili tutoke hapa tunahitaji Nini zaidi
Hiki hakitakiwi kuwa kipaumbele. Bila katiba hata nchi haitakiwi kutambulika. Imagine leo unapigwa ngumi na askari bila kosa lolote na hakuna mahakama, wala sheria, wala katiba. Utaweza ishi kweli
 
Salute mkuu.
Katiba nzuri haitatokana na matakwa ya kisiasa.
Ingekuwa siasa ina tija kwenye Katiba basi mwaka 2014 tungepata Katiba, maana vyama vya siasa vilishirikishwa kiasi cha kutosha.
Siasa ndo kila kitu ndo maisha mwl Nyerere aliwahi kusema ya kwamba ile taifa liendelee linahitaji ardhi , watu na siasa safi
 
This is utter nonsense. Mr Mbowe ni mmoja wa viongozi 3 Afrika Mashariki maarufu: YEYE, KAGAME, na Mu7. Hawai wanaitwa Octenoragians, yaani watawala wakongwe. Wengine ni Kenya, wanaongozwa na ufisadi na ukabila, in that order. Ebu sikiliza hii, msikie Mhe arap Ruto na Raila:


Hawa ndiyo wanahitaji Katiba, sisi nduhu, haie, oode, mma, no no no!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…