Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Akili yako ndipo inapoishia undhani maitaji ya tanzania ni sukari na umeme basiKwa sasa maandamano yenu yataegemea hoja ipi baada ya umeme na sukari kuanza kupatikana?
Au mtajitika katika swala la hayati mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar badala ya kwao Mkuranga?