Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

Kwa sasa maandamano yenu yataegemea hoja ipi baada ya umeme na sukari kuanza kupatikana?

Au mtajitika katika swala la hayati mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar badala ya kwao Mkuranga?
Akili yako ndipo inapoishia undhani maitaji ya tanzania ni sukari na umeme basi
 
Safi kabisa CDM ndio tuliomba hivyo na mmetusikia hongera viongozi wetu tupo pamoja!
kabisa
 
Wajiunge na wasafi jogging kila weekend itawasaidia kwa haraka kuondoa hivyo vitambi vya ruzuku... kwa matembezi itachukua muda kuleta matokeo
 
Akili yako ndipo inapoishia undhani maitaji ya tanzania ni sukari na umeme basi
Lingine lilikuwa ni la ufisadi. Lakini bahati mbaya hoja ya ufisadi ilipotea midomoni mwa viongozi wa upinzani baada ya viongozi hao kumkaribisha mkubwa wa mafisadi agombee uraisi katika uchaguzi mkuu kupitia chama chao.
 
Nimekaa pembeni naaangalia haya mambo! Haya maandamano yanaenda kuimaliza CHADEMA. Mimi si mtabiri wala msoma nyota au Sharrif lakini huo ndio ukweli na ukweli mtupu. Ipo hivi: CHADEMA wataitisha maandamano na yatakuwa na mwitikio mdogo, hapo ndipo relevance ya Chama itakuwa hoi! Tusubiri tuone.
 
Baada ya haya maandamano, tutaitisha maandamano Kila Kijiji, then wilaya.

Siasa za mizahamizaha hizi changamoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…