ZWAMBATUMA
Member
- Nov 25, 2024
- 91
- 133
We ni lofa, yani mi nikahatarishe maisha yangu kwa upuuzi? Vurugu zote hizo ndani ya siku moja kwa jambo ambalo sina manufaa nalo.muhimu zaidi kuwalaani wale ambao hawakujiandikisha halafu wanataka kushinda uchaguzi.
Ni vizuri watu wa aina hii wakatolewa wito wa Laana gentleman ๐
ndivyo wenye mihemko na ghadhab za kinyumbu, walivyo pata majeraha na wengine kupoteza uhai kabisa gentleman..We ni lofa, yani mi nikahatarishe maisha yangu kwa upuuzi? Vurugu zote hizo ndani ya siku moja kwa jambo ambalo sina manufaa nalo.
Jamani hii hali itaendelea hadi lini??, yanini kuwa na vyama vingi?
Mmh na nyie nao mbona mnapoteza mwelekeo?Duh kumbe mbowe ndo ameua watu ๐ mbowe mbaya sana huyu mzee aisee achukuliwe hatua za kisheria
๐ฎMalalamishi ya Chadema kila uchwao hayaishi. Wanaona kabisa wanaingia kwenye uchaguzi wkt Tume na mamlaka husika hazipo huru. Kwa mantiki hii wataendelea kulallamika kila siku. Tumechoka malalamiko yao. Kama vipi wajitoe tu mpk pale kutapofanyika maboresho ya Sheria na kanuni. Otherwise tunawaona nao wachumia tumbo tu.
We nae sijui unaongea nini? Kama Amri Jeshi na Mkuu wa nchi mwenye mamlaka ya kudhibiti upuuzi huo ila akachagua kukaa kimya, unaona alifanya sawa?JPM alisingiziwa mabaya mengi sana
Hiv sifa ya kua uvccm lazma uwe una uwezo mdogo wa kufkir na kutoa maoni ya kijinga kila wakat?Lissu alikuwa anahamasisha chadema "wachukue hatua kama watakavyoona" Cha qjabu yeye hachukui hatua hizo, anajaza ujinga watoto wa wenzake wanaumizana
Huwa mnalipwa nini, mnafanyiwa nini huko kiasi mnajitoa akili hivi?muhimu zaidi kuwalaani wale ambao hawakujiandikisha halafu wanataka kushinda uchaguzi.
Ni vizuri watu wa aina hii wakatolewa wito wa Laana gentleman ๐
Gentleman,Huwa mnalipwa nini, mnafanyiwa nini huko kiasi mnajitoa akili hivi?