Wapinzani Tz naona mnajitahidi kuwa wastaarabu, bahati mbaya hizo siasa zenu sio kwa chama kama CCM.
Mbowe, Lema msiwe watu wa kutoa taarifa na kulalamika, nobody cares.Tz inahitaji kiongozi wa upinzani ambaye hana cha kupoteza,
Mfano kuna vijana wenu wamepotea mpaka leo - mmewatelekeza, mnakalia kuandika mitandaoni - tena mnaenda kwenye uchaguzi ambao mnajua hamuwezi shinda sababu hakuna haki sababu mmezoea kuonewa na mnakuwa kama yatima.
Hivi mfano mnashindwa kuitisha migomo baridi ya kutokushirikiana na serikali na CCM kwa chochote mpaka hao vijana wenu warudi, kwa nini msingekataa kushiriki uchaguzi wowote mpaka hao vijana warudi?
Kwa nini msingeanzisha maandamano yenu ya online - tengenezeni alama wanachama wenu waipost milele mpaka vijana waachiwe na hizo cases za mauwaji na kutekwa zipatiwe ufumbuzi???
Inaonekana upinzani unamapandikizi mengi sana....
Mkiendelea kulialia hivi mtasubiri milele.