LGE2024 Freeman Mbowe: Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

LGE2024 Freeman Mbowe: Tunalaani mauaji na kujeruhiwa kwa wagombea, viongozi na wanachama wetu kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Write your reply...Mapambano muhimu sana kwetu na wala siyo lawama kwani anayetakiwa kunyang'anywa anajuwa anafanya nini tukaze buti. Na magugu waliyo yapanda ndiyo yanaota tutatobowa kweli maana kuna kazi ya ziada kwa hali hii.
 
Wapinzani Tz naona mnajitahidi kuwa wastaarabu, bahati mbaya hizo siasa zenu sio kwa chama kama CCM.
Mbowe, Lema msiwe watu wa kutoa taarifa na kulalamika, nobody cares.Tz inahitaji kiongozi wa upinzani ambaye hana cha kupoteza,
Mfano kuna vijana wenu wamepotea mpaka leo - mmewatelekeza, mnakalia kuandika mitandaoni - tena mnaenda kwenye uchaguzi ambao mnajua hamuwezi shinda sababu hakuna haki sababu mmezoea kuonewa na mnakuwa kama yatima.
Hivi mfano mnashindwa kuitisha migomo baridi ya kutokushirikiana na serikali na CCM kwa chochote mpaka hao vijana wenu warudi, kwa nini msingekataa kushiriki uchaguzi wowote mpaka hao vijana warudi?
Kwa nini msingeanzisha maandamano yenu ya online - tengenezeni alama wanachama wenu waipost milele mpaka vijana waachiwe na hizo cases za mauwaji na kutekwa zipatiwe ufumbuzi???
Inaonekana upinzani unamapandikizi mengi sana....
Mkiendelea kulialia hivi mtasubiri milele.
 
muhimu zaidi kuwalaani wale ambao hawakujiandikisha halafu wanataka kushinda uchaguzi.

Ni vizuri watu wa aina hii wakatolewa wito wa Laana gentleman 🐒
We ni lofa, yani mi nikahatarishe maisha yangu kwa upuuzi? Vurugu zote hizo ndani ya siku moja kwa jambo ambalo sina manufaa nalo.
 
We ni lofa, yani mi nikahatarishe maisha yangu kwa upuuzi? Vurugu zote hizo ndani ya siku moja kwa jambo ambalo sina manufaa nalo.
ndivyo wenye mihemko na ghadhab za kinyumbu, walivyo pata majeraha na wengine kupoteza uhai kabisa gentleman..

elimu ni kitu muhimu na cha maana sana, kwasababu kwa haraka sana unaweza kuasess merits na demerits za maamuzi na matendo yako dhidi ya afya na uhai wako kutokana na siasa..

kukurupuka kinyumbu utapotea within a second na utasahaulika na familia yako ikiteseka.

kaa chonjo, think big, sio kufuata mkumbo na huku hujajiandikisha but pia huna hoja 🐒
 
Damu hizi zitaleta mwisho mbaya na mchungu kwa mtawala aliyebariki mauaji haya, kama Mungu aishivyo huyu atapata tabu sana.
 
Malalamishi ya Chadema kila uchwao hayaishi. Wanaona kabisa wanaingia kwenye uchaguzi wkt Tume na mamlaka husika hazipo huru. Kwa mantiki hii wataendelea kulallamika kila siku. Tumechoka malalamiko yao. Kama vipi wajitoe tu mpk pale kutapofanyika maboresho ya Sheria na kanuni. Otherwise tunawaona nao wachumia tumbo tu.
🚮
 
Lissu alikuwa anahamasisha chadema "wachukue hatua kama watakavyoona" Cha qjabu yeye hachukui hatua hizo, anajaza ujinga watoto wa wenzake wanaumizana
Hiv sifa ya kua uvccm lazma uwe una uwezo mdogo wa kufkir na kutoa maoni ya kijinga kila wakat?
 
muhimu zaidi kuwalaani wale ambao hawakujiandikisha halafu wanataka kushinda uchaguzi.

Ni vizuri watu wa aina hii wakatolewa wito wa Laana gentleman 🐒
Huwa mnalipwa nini, mnafanyiwa nini huko kiasi mnajitoa akili hivi?
 
Huwa mnalipwa nini, mnafanyiwa nini huko kiasi mnajitoa akili hivi?
Gentleman,
kwani wewe muerevu mihemko na ghadhabu zinakufaidisha nini dhidi ya ukweli unaoelezwa bayana humu jukwaani?🐒
 
Back
Top Bottom