K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 12,096 Reaction score 15,393 Nov 19, 2024 #21 brownjosephati said: na zaidi hakuna aliposema makundi yanayoongozwa na yeye au la lisu huyu mwandishi uchwara kajijazia ujunga kichwani Click to expand... Pesa ya Abdul na mama ipo kazini. Usisahau!
brownjosephati said: na zaidi hakuna aliposema makundi yanayoongozwa na yeye au la lisu huyu mwandishi uchwara kajijazia ujunga kichwani Click to expand... Pesa ya Abdul na mama ipo kazini. Usisahau!
The Palm Beach JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 1,967 Reaction score 4,267 Nov 20, 2024 #22 Obe said: ... bila kuathiri hoja yako kuhusu uozo kwenye mahakama, kwa mujibu wa tovuti ya mahakama, jaji mkuu ni Prof. Ibrahim Hamis Juma. Angalia records zako Click to expand... Asante kwa masahihisho.. Sijui ilikuwaje tu kumbukumbu yangu ikawa bado inamtambua Othman Chande.. Thank you🙏🙏
Obe said: ... bila kuathiri hoja yako kuhusu uozo kwenye mahakama, kwa mujibu wa tovuti ya mahakama, jaji mkuu ni Prof. Ibrahim Hamis Juma. Angalia records zako Click to expand... Asante kwa masahihisho.. Sijui ilikuwaje tu kumbukumbu yangu ikawa bado inamtambua Othman Chande.. Thank you🙏🙏