Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.Amemzungumziaje aliyekuwa mgombea wa ubunge Hai kwa tiketi ya Chadema?
Utasubiri sana kuona hilo bifu!Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Huhuhu. Makamanda mna too much hopes na ndo hiko kinawapaga stressUtasubiri sana kuona hilo bifu!
Yaani hata yeye alikuwa hatoshi!?Kwahiyo sio hujuma tena za CCM ndo zilizopelekea chama kushindwa?
Kama hakuna bifu basi tutamsikia tena ndugu Freeman kwenye kipindi cha utangazaji cha Antipasu cha mitandaoni akihojiwa.Utasubiri sana kuona hilo bifu!
Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Ww ni mjumbe?Kumbuka Lisu alishindwa na Nyalandu kwenye kamati kuu ya chadema
Weka klipu boya wewe.1.Tulikuwa na wagombea dhaifu ikiwemo ubunge na udiwani,2.tulikuwa na wagombea dhaifu katika ubunge na udiwani,hizi ni kauli mbili zenye mtazamo mmoja Ila maana tofauti.kauli ya Kwanza ndo kaisema Mbowe na ndiyo inayomaanisha hata kwenye urais mgombea alikuwa dhaifu
Mbona umeongeza na yako? Neno "urais" halimo katika kauli ya Mbowe..Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.
Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na CCM.
My take.
Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.
Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.
=====
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amekiri kuwa walikuwa na baadhi ya wagombea ambao hawakuwa wakikubalika kwenye maeneo waliyogombea nafasi mbalimbali ikiwemo ubunge na madiwani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Pia, amesema kwa sasa falsafa zake za kisiasa zinakwenda sawa na zile za aliyekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Marekani, Thomas "Tip" O'Neil Jr.
Amesema O'Neil kupitia kitabu chake cha 'All Politics is Local' amesema siri za ushindi za chama cha siasa ambazo ndizo anazutimia kuongoza mapambano ya kushika dola nchini.
Amezitaja falsafa hizo kuwa ni chama kupata mgombea sahihi na nayekubalika kwa wapiga kura.
"Nikiri kuna maeneo mengi tulikuwa na wagombea sahihi, lakini kuna maeneo kadhaa tulikuwa na wagombea dhaifu, huo ni ukweli na haupingiki kwa sababu waswahili wanasema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani," amesema Mbowe.
Ametaja jambo la pili kuwa ni chama kuwa na ajenda ya kuwashawishi wanachi kukichagua, ambapo kwa upande wa CHADEMA, Mbowe amesema hakijawahi kukosa ajenda ya kushindana na Chama tawala-CCM.
"Ilani yetu ya uchaguzi ilikuwa bora kwa sababu imefanyiwa utafiti," amesema.
Mambo mengine ambayo Mbowe ameyataja ni kuwa na uongozi imara na rasilimali fedha ambapo kwa sasa chama kinatengeneza miundombinu rafiki ikiwemo kuwekeza kwa vijana na kukuza teknolojia kutoka analojia kwenda dijitali.
"Sasa hivi wanachama wa CHADEMA ni ambao hawazidi umri wa miaka 45 hii ni dalili nzuri kwamba, upinzani utakuwa imara zaidi lakin pia tunapambana kuhakikisha kila kitu tunachokifanya kinafanyika kidijitali," amesema Mbowe.
Kiongozi huyo amesema kikao cha Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Victoria kimeafiki kuwa kila Jumamosi kuwa siku ya kuvaa sare ya Chama hicho kwa wanachama wake.
"Tunatambua kuwa wana CHADEMA walikuwa wameshaanza kusahau hadi kuvaa sare, lakini sasa wanachama wa CHADEMA watavaa sare kila Jumamosi ili kuongeza motisha na idadi ya wafuasi wetu," amesisitiza.
Chanzo: Mwananchi
Aliyewapitisha hao dhaifu ni nani Kama sio huyo mwenyekitiMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.
Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na CCM.
My take.
Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.
Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.
=====
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amekiri kuwa walikuwa na baadhi ya wagombea ambao hawakuwa wakikubalika kwenye maeneo waliyogombea nafasi mbalimbali ikiwemo ubunge na madiwani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Pia, amesema kwa sasa falsafa zake za kisiasa zinakwenda sawa na zile za aliyekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Marekani, Thomas "Tip" O'Neil Jr.
Amesema O'Neil kupitia kitabu chake cha 'All Politics is Local' amesema siri za ushindi za chama cha siasa ambazo ndizo anazutimia kuongoza mapambano ya kushika dola nchini.
Amezitaja falsafa hizo kuwa ni chama kupata mgombea sahihi na nayekubalika kwa wapiga kura.
"Nikiri kuna maeneo mengi tulikuwa na wagombea sahihi, lakini kuna maeneo kadhaa tulikuwa na wagombea dhaifu, huo ni ukweli na haupingiki kwa sababu waswahili wanasema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani," amesema Mbowe.
Ametaja jambo la pili kuwa ni chama kuwa na ajenda ya kuwashawishi wanachi kukichagua, ambapo kwa upande wa CHADEMA, Mbowe amesema hakijawahi kukosa ajenda ya kushindana na Chama tawala-CCM.
"Ilani yetu ya uchaguzi ilikuwa bora kwa sababu imefanyiwa utafiti," amesema.
Mambo mengine ambayo Mbowe ameyataja ni kuwa na uongozi imara na rasilimali fedha ambapo kwa sasa chama kinatengeneza miundombinu rafiki ikiwemo kuwekeza kwa vijana na kukuza teknolojia kutoka analojia kwenda dijitali.
"Sasa hivi wanachama wa CHADEMA ni ambao hawazidi umri wa miaka 45 hii ni dalili nzuri kwamba, upinzani utakuwa imara zaidi lakin pia tunapambana kuhakikisha kila kitu tunachokifanya kinafanyika kidijitali," amesema Mbowe.
Kiongozi huyo amesema kikao cha Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Victoria kimeafiki kuwa kila Jumamosi kuwa siku ya kuvaa sare ya Chama hicho kwa wanachama wake.
"Tunatambua kuwa wana CHADEMA walikuwa wameshaanza kusahau hadi kuvaa sare, lakini sasa wanachama wa CHADEMA watavaa sare kila Jumamosi ili kuongeza motisha na idadi ya wafuasi wetu," amesisitiza.
Chanzo: Mwananchi
Wakaskazini walimbakiza lisu kwa makusudi ili chama kimtumie kupata kura za huruma, safari hii akiwazingua watammaliza kabisa. Mbowe na genge la wapoti wake siyo watu wa kuchezea.Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Uzushi umeletwa na kipepelushi cha .magamba kinaitwa la jiji yapaSwa tukipuuze pamoja na wewe chaumbeaMwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.
Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na CCM.
My take.
Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.
Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.
=====
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amekiri kuwa walikuwa na baadhi ya wagombea ambao hawakuwa wakikubalika kwenye maeneo waliyogombea nafasi mbalimbali ikiwemo ubunge na madiwani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Pia, amesema kwa sasa falsafa zake za kisiasa zinakwenda sawa na zile za aliyekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Marekani, Thomas "Tip" O'Neil Jr.
Amesema O'Neil kupitia kitabu chake cha 'All Politics is Local' amesema siri za ushindi za chama cha siasa ambazo ndizo anazutimia kuongoza mapambano ya kushika dola nchini.
Amezitaja falsafa hizo kuwa ni chama kupata mgombea sahihi na nayekubalika kwa wapiga kura.
"Nikiri kuna maeneo mengi tulikuwa na wagombea sahihi, lakini kuna maeneo kadhaa tulikuwa na wagombea dhaifu, huo ni ukweli na haupingiki kwa sababu waswahili wanasema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani," amesema Mbowe.
Ametaja jambo la pili kuwa ni chama kuwa na ajenda ya kuwashawishi wanachi kukichagua, ambapo kwa upande wa CHADEMA, Mbowe amesema hakijawahi kukosa ajenda ya kushindana na Chama tawala-CCM.
"Ilani yetu ya uchaguzi ilikuwa bora kwa sababu imefanyiwa utafiti," amesema.
Mambo mengine ambayo Mbowe ameyataja ni kuwa na uongozi imara na rasilimali fedha ambapo kwa sasa chama kinatengeneza miundombinu rafiki ikiwemo kuwekeza kwa vijana na kukuza teknolojia kutoka analojia kwenda dijitali.
"Sasa hivi wanachama wa CHADEMA ni ambao hawazidi umri wa miaka 45 hii ni dalili nzuri kwamba, upinzani utakuwa imara zaidi lakin pia tunapambana kuhakikisha kila kitu tunachokifanya kinafanyika kidijitali," amesema Mbowe.
Kiongozi huyo amesema kikao cha Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Victoria kimeafiki kuwa kila Jumamosi kuwa siku ya kuvaa sare ya Chama hicho kwa wanachama wake.
"Tunatambua kuwa wana CHADEMA walikuwa wameshaanza kusahau hadi kuvaa sare, lakini sasa wanachama wa CHADEMA watavaa sare kila Jumamosi ili kuongeza motisha na idadi ya wafuasi wetu," amesisitiza.
Chanzo: Mwananchi
Uongo wa kike huu.Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Wewe mwongo mkubwa, hajatoa kauli kama hiyo. Kauli pekee aloypitoa, "mimi nasema mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi bali ni uchafuzi".Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi sera na ajenda za wanachi.
Mbowe amesema Chadema haijawahi kuishiwa ajenda za kupambana na CCM.
My take.
Watakiri yote waliyomsingizia mwendazake laana ya kumtukana imeanza kuwatafuna.
Kumbe waliweka wagombea dhaifu alafu wakasingizia wameibiwa kura na mwendazake. Hovyo kabisa.
=====
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amekiri kuwa walikuwa na baadhi ya wagombea ambao hawakuwa wakikubalika kwenye maeneo waliyogombea nafasi mbalimbali ikiwemo ubunge na madiwani katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Pia, amesema kwa sasa falsafa zake za kisiasa zinakwenda sawa na zile za aliyekuwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Marekani, Thomas "Tip" O'Neil Jr.
Amesema O'Neil kupitia kitabu chake cha 'All Politics is Local' amesema siri za ushindi za chama cha siasa ambazo ndizo anazutimia kuongoza mapambano ya kushika dola nchini.
Amezitaja falsafa hizo kuwa ni chama kupata mgombea sahihi na nayekubalika kwa wapiga kura.
"Nikiri kuna maeneo mengi tulikuwa na wagombea sahihi, lakini kuna maeneo kadhaa tulikuwa na wagombea dhaifu, huo ni ukweli na haupingiki kwa sababu waswahili wanasema wali wa kushiba unaonekana kwenye sahani," amesema Mbowe.
Ametaja jambo la pili kuwa ni chama kuwa na ajenda ya kuwashawishi wanachi kukichagua, ambapo kwa upande wa CHADEMA, Mbowe amesema hakijawahi kukosa ajenda ya kushindana na Chama tawala-CCM.
"Ilani yetu ya uchaguzi ilikuwa bora kwa sababu imefanyiwa utafiti," amesema.
Mambo mengine ambayo Mbowe ameyataja ni kuwa na uongozi imara na rasilimali fedha ambapo kwa sasa chama kinatengeneza miundombinu rafiki ikiwemo kuwekeza kwa vijana na kukuza teknolojia kutoka analojia kwenda dijitali.
"Sasa hivi wanachama wa CHADEMA ni ambao hawazidi umri wa miaka 45 hii ni dalili nzuri kwamba, upinzani utakuwa imara zaidi lakin pia tunapambana kuhakikisha kila kitu tunachokifanya kinafanyika kidijitali," amesema Mbowe.
Kiongozi huyo amesema kikao cha Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Victoria kimeafiki kuwa kila Jumamosi kuwa siku ya kuvaa sare ya Chama hicho kwa wanachama wake.
"Tunatambua kuwa wana CHADEMA walikuwa wameshaanza kusahau hadi kuvaa sare, lakini sasa wanachama wa CHADEMA watavaa sare kila Jumamosi ili kuongeza motisha na idadi ya wafuasi wetu," amesisitiza.
Chanzo: Mwananchi
Wewe unaamini haya maneno ambayo mleta mada ameyatengeneza? Mwambie akuletee clip, uone ka atathubutu.Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.