Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Uchaguzi Mkuu wa 2020 CHADEMA hatukuwa na wagombea sahihi

Amemzungumziaje aliyekuwa mgombea wa ubunge Hai kwa tiketi ya Chadema?
 
Lisu anapambana na Diamond kumbuka Diamond ameajiri maelfu ya watu huku Lisu akiwa hana legacy nchini na hata jimboni kwake alipowahi kuwa mbunge kwa miaka kumi.Lisu kwa sasa amefugwa na Amsterdam Ubelgiji.
 
Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Utasubiri sana kuona hilo bifu!
 
Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.

Huyo boya aliyeleta uzi ni Mataga mwenzio, alichosema na kilichopo kwenye gazeti ni kitu tofauti kabisa.
 
Weka klipu boya wewe.
Pia haibadilishi ukweli kwamba kura zilibebwa na mabegi na viroba zikiwa zimepigwa kwa ccm.
 
Mbona umeongeza na yako? Neno "urais" halimo katika kauli ya Mbowe..
 
Aliyewapitisha hao dhaifu ni nani Kama sio huyo mwenyekiti
 
Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Wakaskazini walimbakiza lisu kwa makusudi ili chama kimtumie kupata kura za huruma, safari hii akiwazingua watammaliza kabisa. Mbowe na genge la wapoti wake siyo watu wa kuchezea.
 
Uzushi umeletwa na kipepelushi cha .magamba kinaitwa la jiji yapaSwa tukipuuze pamoja na wewe chaumbea
 
Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Uongo wa kike huu.
 
Wewe mwongo mkubwa, hajatoa kauli kama hiyo. Kauli pekee aloypitoa, "mimi nasema mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi bali ni uchafuzi".
 
Nilishasema kuna bifu Kati Lisu na mwenyekiti wake haya sasa wale wapambe nuksi njoeni tena.
Utabiri wangu Mbowe atadondoshwa na Lisu maana Ile mashine sio mchezo.
Wewe unaamini haya maneno ambayo mleta mada ameyatengeneza? Mwambie akuletee clip, uone ka atathubutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…