Freeman Mbowe ulishangilia kuondoka kwa Magufuli bila kujua kuwa ndiyo mti uliokuwa umeugemea

UNAFANANISHA MATUKIO WEWE....
Mambo yamebadilika sana tangu uongozi wa Raisi ubadilike.
 
Kwa nini huyo muuaji asiondoke kwa laana?
Yule jiwe alivuna alichopanda
 
Lisu alitaka kuonyesha nguvu ya umma nyuma yake dhidi ya kitendo cha mwamba kumweka wenje agombee nafasi ya makamu mwenyekiti kwa hila.Kitendo hicho kimefeli na uchaguzi umekwisha kilichobaki kukiimarisha chama
 
Mbowe ameondoka kwa aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…