Freeman Mbowe ulishangilia kuondoka kwa Magufuli bila kujua kuwa ndiyo mti uliokuwa umeugemea

Freeman Mbowe ulishangilia kuondoka kwa Magufuli bila kujua kuwa ndiyo mti uliokuwa umeugemea

Kuna msemo wa wahenga wa Zamani kuwa kuna kundi la nyani lilishangilia baada ya kusikia mkulima wa mahindi amekufa wakaambiana sasa watakula mahindi kwa uhuru bila kurushiwa mawe. Hawakujua kuwa aliyefariki ndiyo alikuwa anasababisha mahindi yawepo, baada ya muda nyani nao walikufa njaa vibaya sana kwa kukosa chakula.

Stori hii ya wahenga inafanana na kitendo cha Mbowe kushangilia kufariki kwa Magufuli, asijue kuwa ndiye aliyekuwa analinda uenyekiti wake wa Chadema.

Kila mtu anajua kama Magufuli angekuwa rais wa Tanzania isingewezekana Tundu Lisu kuwa Mwenyekiti wa Chadema.

Freeman Mbowe ulishangilia wakati wengine wakilia ,leo ni zamu yako kulia huku wengine wakicheka na kushangilia.
Freeman Mbowe ni faida ipi uliyoipata kwa kushangilia kifo cha Magufuli?
UNAFANANISHA MATUKIO WEWE....
Mambo yamebadilika sana tangu uongozi wa Raisi ubadilike.
 
Kengeza Mbowe aka Mr Zero na bado hahaha anasema kwamba anaenda kutafuta hela awe tajiri zaidi hahaha hajui yupo kwenye laana ya kushiriki kumuu Dkt Magufuli, hahaha ataokota mpaka makopo, na hapo bado yaani huu ni mwanzo wa laana. Yaani in short wote walioshangilia kifo cha Dkt Magufuli wanaishi na laana!
Kwa nini huyo muuaji asiondoke kwa laana?
Yule jiwe alivuna alichopanda
 
Lisu alitaka kuonyesha nguvu ya umma nyuma yake dhidi ya kitendo cha mwamba kumweka wenje agombee nafasi ya makamu mwenyekiti kwa hila.Kitendo hicho kimefeli na uchaguzi umekwisha kilichobaki kukiimarisha chama
 
Mbowe ameondoka kwa aibu sana
 
Back
Top Bottom