Freeman Mbowe umeacha alama. Wewe si mnyonge bali ni Shujaa

Freeman Mbowe umeacha alama. Wewe si mnyonge bali ni Shujaa

ushindani ni mzuri. Demokrasia imeonekana hadharani. ushindi wa mezani hauna ladha na furaha kama wa uwanjani.
Alijimilikisha demokrasia. Kama siyo umma kupiga kelele kuhusu hayo uliyoyasema ingekuwa habari nyingine sasa
 
Mbowe anastahili pongezi haikuwa rahisi kwa hili,maana alikuwa na uwezo wote wa kuharibu uchaguzi.
Kwa hiyo kuharibu uchaguzi ni utamaduni wa kudumu?
Walijaribu kuleta kwa magari ya mapolisi lakini waliwakuta hawa wakiwasubiri bila kulala
Screenshot_20250122_103531_X.jpg
 
Kwa hiyo kuharibu uchaguzi ni utamaduni wa kudumu?
Walijaribu kuleta kwa magari ya mapolisi lakini waliwakuta hawa wakiwasubiri bila kulala
View attachment 3210137
IMekuwa rahisi kufanya hivyo kwa sababu siyo uchaguzi wa serikali kuu. Hebu wajaribu kufanya hivyo mwezi october?
 
Back
Top Bottom