Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jan 22, 2025 #41 cencer09 said: Tatizo wapambe wake na kuziamini zile kauli ya yeye ndiye Alfa na Omega. Ametoka ukumbini kwa aibu Click to expand... Amestaafu kwa aibu kubwa
cencer09 said: Tatizo wapambe wake na kuziamini zile kauli ya yeye ndiye Alfa na Omega. Ametoka ukumbini kwa aibu Click to expand... Amestaafu kwa aibu kubwa
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jan 22, 2025 #42 Blood of Jesus said: ushindani ni mzuri. Demokrasia imeonekana hadharani. ushindi wa mezani hauna ladha na furaha kama wa uwanjani. Click to expand... Alijimilikisha demokrasia. Kama siyo umma kupiga kelele kuhusu hayo uliyoyasema ingekuwa habari nyingine sasa
Blood of Jesus said: ushindani ni mzuri. Demokrasia imeonekana hadharani. ushindi wa mezani hauna ladha na furaha kama wa uwanjani. Click to expand... Alijimilikisha demokrasia. Kama siyo umma kupiga kelele kuhusu hayo uliyoyasema ingekuwa habari nyingine sasa
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Jan 22, 2025 #43 M45 said: Mbowe anastahili pongezi haikuwa rahisi kwa hili,maana alikuwa na uwezo wote wa kuharibu uchaguzi. Click to expand... Kwa hiyo kuharibu uchaguzi ni utamaduni wa kudumu? Walijaribu kuleta kwa magari ya mapolisi lakini waliwakuta hawa wakiwasubiri bila kulala
M45 said: Mbowe anastahili pongezi haikuwa rahisi kwa hili,maana alikuwa na uwezo wote wa kuharibu uchaguzi. Click to expand... Kwa hiyo kuharibu uchaguzi ni utamaduni wa kudumu? Walijaribu kuleta kwa magari ya mapolisi lakini waliwakuta hawa wakiwasubiri bila kulala
M45 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 1,110 Reaction score 1,462 Jan 22, 2025 #44 Msanii said: Kwa hiyo kuharibu uchaguzi ni utamaduni wa kudumu? Walijaribu kuleta kwa magari ya mapolisi lakini waliwakuta hawa wakiwasubiri bila kulala View attachment 3210137 Click to expand... IMekuwa rahisi kufanya hivyo kwa sababu siyo uchaguzi wa serikali kuu. Hebu wajaribu kufanya hivyo mwezi october?
Msanii said: Kwa hiyo kuharibu uchaguzi ni utamaduni wa kudumu? Walijaribu kuleta kwa magari ya mapolisi lakini waliwakuta hawa wakiwasubiri bila kulala View attachment 3210137 Click to expand... IMekuwa rahisi kufanya hivyo kwa sababu siyo uchaguzi wa serikali kuu. Hebu wajaribu kufanya hivyo mwezi october?