Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Lakini usishangae ndo mawazo yake huku akisahau kwamba hata huko Amerika wana shida sana mambo ya uchaguzi katika vyama vyao.Hizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?
Mbowe ni mwepesi kama unyoyaNdio ukweli mtu akitunisha msipa na wewe tunisha magufuli ukimchekea anakuona boya tu uchaguzi ujao ni wa kujitoa kwa nguvu zote hata kama watu tutaenda kizuizini nisawa lakini haki ipatikane kwa vizazi vijavyo.
Mtatunga theories zote lakini ukweli ni kuwa kauli ya Mbowe kule Mwanza ilikuwa ni angalizo tu na siyo kuwa alijisalimisha.Mzee Mbowe ameongea hii kauli kusafisha taswira yake iliyochafuka siku chache zilizopita. Ili kuonesha umma kwamba hakupiga magoti kwa Raisi Magufuli, atalazimika kujitutumua na kufanya vitu vya hatari ili kuonesha kwamba haogopi mtu.
Mmeongea na huyo katibu mkuu wa UN kakubali au ni ndoto? Mnaacha kupigania haki wenyewe mnamuota huyokatibu. Mmeshafeli vibaya kama mna mawazo ya hovyo hivo.
Read to understand not to respond.Mtatunga theories zote lakini ukweli ni kuwa kauli ya Mbowe kule Mwanza ilikuwa ni angalizo tu na siyo kuwa alijisalimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ni ramli zako tuMzee Mbowe ameongea hii kauli kusafisha taswira yake iliyochafuka siku chache zilizopita. Ili kuonesha umma kwamba hakupiga magoti kwa Raisi Magufuli, atalazimika kujitutumua na kufanya vitu vya hatari ili kuonesha kwamba haogopi mtu.