Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ua kijamii.
Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.
Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.
Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.
Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.
Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.