Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.

Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.

Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.

Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.

Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.

Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.
wewe tafuta njia ingine ya kupokea hela toka ccm, hii haitakusaidia
 
Lakini usishangae ndo mawazo yake huku akisahau kwamba hata huko Amerika wana shida sana mambo ya uchaguzi katika vyama vyao.

Lakini wangalau huko US mifumo yao ya kutoa haki iko thabiti, ila hapa kwetu, wanaofanya uhuni ndio wanaopanga haki itolewe vipi!
 
Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.

Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.

Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.

Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.

Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.

Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.
Unataka kutuambia Hata ule USHENZI iliofanywa kwenye uchaguzi Serikali za Mitaa unabaraka za Muumbaji?
Nakushauri unapo ongelea habari za utawala uliozoea vya KUNYONGA usilitaje jina la MUUMBA maana utajikuta unakufuru.
 
Umemalizia vizuri sana. Kwamba TZ inalindwa na Mungu. Isingekuwa hivyo 2015 TZ ingeongozwa na mafisadi ambao walitumia mabilioni kwa mabilioni kuwarubuni watu wawape kura na kwa bahati mbaya waliorubuniwa ni viongozi wa dini zote ukristo, uislam, ukatoliki, upentekoste wote waliingizwa lakini Mungu harubuniwi. Mafisadi wakapigwa chini. Mbowe aelezwe hatapewa uongozi kwa njia za kijanzajanza kwa sababu TZ bado iko mkononi mwa MUNGU wa mbinguni.
KAMA HUYO mungu WENU NDIYE ALIWAPA MAMLAKA YA KUPIGA WATU RISASI MCHANA KWEUPE NA PIA KUUA WATU NA KUFUNGA MIILI YAO KWENYE SANDARUSI NA KUITUPA MTO RUVU NA MINGINE IKIELEA KTK FUKWE ZA BAHARI YA HINDI BASI MWAMBIENI HUYO mungu WENU KUWA NI MPUMBAVU KULIKO SHETANI NA MUNGU WA KWELI MUNGU WA ISAKA NA YAKOBO NDIYE ATAKAEIOKOA HII TZ KUTOKA KATIKA MIKONO YA mungu WENU MWENYE ROHO CHAFU KULIKO YA SHETANI
 
Leo nakiri kwamba Mbowe ni moja ya wanasiasa ma-genius kuwai kutokea Tanzania na atabaki kwenye historia ya siasa za Tanzania vizazi na vizazi.

Mimi ni mmoja ya watu nilikuja na threads nyingi JF kupinga asiendelee ila kama nchi yenyewe ndio ina watu wa namna hii kwenye kuchanganua mambo bora aendelee tu na uwenyekiti wake.

Zikiwa zimebaki siku 5 uchaguzi ufanyike wa mwenyekiti ndani ya chadema watu wote mawazo yako mwanza kwenye sherehe za uhuru na kilichotokea.

Mbowe anajua anachokifanya na hii kitu haikutokea kwa bahati mbaya lengo ni kupunguza moto uliokuwa umewashwa juu ya uwenyekiti.
 
Jitokeze mkuu unasubiri mpaka uambiwe na Mbowe kwani wewe huna utashi wako? Jitokeze ulegwe ya kichwa!

Hivyo vitisho hutolewa popote kwenye ukatili na udictator, na wala sio vitisho huwa ni mambo yanayofanyika kweli, lakini hakuna budi hayo yatokee ili wengine heshima irejee. Kama watu wanakufa na ngoma na hawaogopi itakuwa kifo cha risasi?
 
Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.

#NoHateNoFear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama angekua anajua anachokifanya na ni Genius aliwezae kumkaribisha mamluki/Spy kwenye chama na kumpa Acces ya kuvuruga uchaguzi (eti mgombea mwenza) afu baadae akawageuke.. au kipindi hiko Genius mind yake ilikua Stagnation Period
 
KAMA HUYO mungu WENU NDIYE ALIWAPA MAMLAKA YA KUPIGA WATU RISASI MCHANA KWEUPE NA PIA KUUA WATU NA KUFUNGA MIILI YAO KWENYE SANDARUSI NA KUITUPA MTO RUVU NA MINGINE IKIELEA KTK FUKWE ZA BAHARI YA HINDI BASI MWAMBIENI HUYO mungu WENU KUWA NI MPUMBAVU KULIKO SHETANI NA MUNGU WA KWELI MUNGU WA ISAKA NA YAKOBO NDIYE ATAKAEIOKOA HII TZ KUTOKA KATIKA MIKONO YA mungu WENU MWENYE ROHO CHAFU KULIKO YA SHETANI

Yote hayo ya kutunga. Mtu anapanga kushambuliwa lakini asiumie bahati mbaya aliopanga nao wanapanga afe kabisa halafu wanapakazia wameshambuliwa na serikali. Ndio maana Lissu hawezi kurudi nchini kwa sababu uchunguzi uko wazi alivyopanga hiyo sinema baagaye ikamgeuka. Ndio maana dereva wake kamwe hataruhusiwa kuja kwa sababu wanajua akihojiwa tu atasema yote. Kwa taarifa yako Mbowe anavyoomba maridhiano ni kwa sababu ameona Lissu hapati chochote huko ughaibuni anakoitukana serikali na lengo la Mbowe ni Lissu arudi TZ ila kesi ya kushambuliwa kwake isifanyike eti wamesameheana. Serikali haiwezi kukubali upuuzi huo ni lazima kesi ya kushambuliwa Lissu ingurume ushahidi wote uwekwe wazi wa kuaibiika waaibike.FULL STOP.
 
Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.

Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.

Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.

Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.

Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.

Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.

Dah kweli kiongoz hata ku-paste alichaondika mbowe nacho umeshindwa duh...

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Heri Mbowe aliyelamba zero kuliko kuwa na Maprofesa wasio na uwezo wa ku-reason critically! Eti unakuta Katibu Mkuu ni Profesa halafu Waziri wake ni Form Four (sijamsema Mzee Lukuvi)!!!
Kama ni genius na alilamba zero basi walimu wake watakuwaje?

Ni upendo wako tu sio ishu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe ni mtu mwoga sijapata kuona ,hizi kauli huwa ni kama mbwa anayebweka sana adui akiwa mbali akifika anakimbila chini ya kitanda

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe akili yake ni kubwa sana. Lumumba ndiyo maana wanampiga vita ang'atuke nafasi ya uenyekiti taifa.
 
Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.

Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.

Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.

Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.

Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.

Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.
Wacha kutulisha matango pori mbowe hajaasema hivyo
Kasema kama kwenye uchaguzi mkuu 2020 ccm itafanya kama ilivyofanya kwenye chaguzi za mitaa ...mpatanishi atakuwa katibu mkuu wa UN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom