Mpenda Usalama
Member
- Nov 5, 2019
- 57
- 13
ccm hamna usingizi mpaka wahakikishe Mbowe ameachia uwenyekiti wa chadema???? Loh! Too bad 🙂 🙂 🙂 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie ndivyo ninavyoelewa
Hili lilikuwa lije sio kwamba anasafisha
Kwani alikosea wapi?!
Wameomba maridhiano kuna mmoja kajitutumua eti atawanyoosha upinzani kwa maana hiyo maridhiano hayajakubalika ile juzi alijuuuuuta kumpa Mbowe aongee so cdm wanachukua hatua nyingine.
Kumbuka ccm kama sio;Chadema hawajawahi kuwa serious,kila unapokaribia uchaguzi ndio wanazidi kuvurunda
Fursa walioiporeza 2015,haitarudi milele
2020 ACT anakwenda kuzoa viti vya pemba kwa kutumia maruhani wa maalim sefu,hii inawachanganya sana chadema,mara watake maridhiano,mara waswme msuluhishi atakua katibu mkuu UN
yeye ndiyo anatakiwa aache uhuni yeye anawaambia watu wasusie uchaguzi halafu analeta sababu za kifala hapa ? huyo anawadanganya wenzie kuficha ruzuku anazokulaKama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.
#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
Sawa kabisa ila wakati ukifika usome andiko lako hapo juu. Mwanadamu ni sayansi nyingine tofauti kabisa.Hahaha walisema watamshitaki Kikwete Mahakama ya kimataifa
Leo hii Kikwete yupo anakula pension taratibu
Hawa watu wamekuwa bongo mobe
Mfa maji!!Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.
#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.
#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
Mwepesi kwa kura au risasi na mabomu? CCM mmeishiwa kabisa hakika kwa kauli hizi nyie ni makaburu wapya!
Huu ujinga pelekeni huko eti wanagombea wenyevyit kwenye serikal za mtaa mmejitoa ila wa udiwan ubunge na urais eti UN mi ningeona wa maana mngesusia pia nataka magu afanye hivyohivyo akijaaliwa uzima tumewachoka sasa aaagh!Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.
#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa.
#DevelopmentIsWoman
#MaendeleoNiMwanamke
#NoHateNoFear
View attachment 1290342
KIBAYA ZAIDI MTU ANAUOGOPA UKIMWI KIASI CHA KUTUMIA CONDOM KILA MECHI ASIYOIAMINI LAKINI MATOKEO ANAKUFA NA MALARIA SASA SI BORA NIFE KIUME KWA RISASI ILI WENGINE WAOKOLEWE? MBONA WAZEE WETU WALIMNG'OA MKOLONI ALIYEKUWA KASHEHENI KILA KITU? WAAMBIENI WAJIPANGE WNGINE SASA HIVI TUNASUBIRI KIPENGA KIPULIZWE TUINGIE UWANJANI HAIJALISHI NIKIWA NA SILAHA GANIHivyo vitisho hutolewa popote kwenye ukatili na udictator, na wala sio vitisho huwa ni mambo yanayofanyika kweli, lakini hakuna budi hayo yatokee ili wengine heshima irejee. Kama watu wanakufa na ngoma na hawaogopi itakuwa kifo cha risasi?