Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

JM3

Senior Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
157
Reaction score
328
BREAKING: MBOWE NA WENZAKE WAACHIWA KWA DHAMANA

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na viongozi wenzake waliokuwa wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa Uchaguzi Mkuu wameachiwa kwa dhamana - Mwanasheria wao ameithibitishia JamiiForums

A990D830-9481-4A20-A01D-9348DFAE2D23.jpeg

B4F8C40C-BAF0-46E3-BAD4-56AF5E1F284B.jpeg

399EFDAE-73DB-4836-A6DE-AE1CE045AE52.jpeg
 
Na j2 utamwona kanisani anapokea Sakramenti takatifu
Ningekua mimi ni Mungu yani Magufuli angenitambua!

Huwezi ninyanyasia watu wangu kwenye Nchi yao halafu unaniletea unafiki kwenye nyumba yangu ya Ibada na huku mikono yako imejaa damu zisizo na Hatia. Ningemnyoosha haswa.

Bahati yake mimi siyo Mungu.
 
Back
Top Bottom