Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Ningekua mimi ni Mungu yani Magufuli angenitambua!

Huwezi ninyanyasia watu wangu kwenye Nchi yao halafu unaniletea unafiki kwenye nyumba yangu ya Ibada na huku mikono yako imejaa damu zisizo na Hatia. Ningemnyoosha haswa.

Bahati yake mimi siyo Mungu.
Kaandamane nicheki muvi ya kichapo chako huhuhuhuuuu
 
Dikteta ameona aibu kuapishwa watu wakiwa rumande
Dikteta gani Tena! Mungu katupendelea Sana watz! Mungu azidi kumlinda kumuongoza kumtunza, na kumbariki rais wetu Mh Dr JPM na serikali yetu yote ya awamu hii ya tano! Mungu azidi ibariki Tanzania yetu!
 
Amewapendelea wewe na familia yako mkuu
 
Back
Top Bottom