Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Watanzania zaidi ya 80% waliompigia kura Magifuli naamini wangependa hilo kundi la viongozi wabinafsi na wenye uchu wa madaraka kwa njia yoyote ile, wangefunguliwa mashtaki ya uhaini
Mataga bhana!
Em kawaeleze hayo wana-Lindi afu ulete mrejesho
 
Marekani hawezi itisha nchi yoyote kwenye maswala ya ndani mana mkataba wa mahusiano ya kimataifa na diplomasia havi ruhusu hiyo kitu
Kuwabambikia kesi wapinzani siyo masuala ya ndani kwenye uonevu hakuna cha masuala ya ndani kabsa.
 
Tuwashukuru Marekani na nchi za Ulaya bila shinikizo dikteta alikuwa anaenda kuwamaliza ndugu zetu
Cyprian Musiba alikuwa tayari kaandaa wagonjwa wa corona na chemical kwa ajili ya kuvipeleka waliposhikiliwa ili awadhuru wakitoka jelaa wawe wagonjwa na kupote baadae.
 
No blood no changes

Beberu hawezi kutuletea changes tunazotaka kama tunaogopa vifo
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada kwa wazungu huwaita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa ujinga upumbavu uonevu unyanyasaji wa CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Utawala uliopita ulimbeba sana mpaka kupewa Kandarasi kadhaa kwny Hotels zake,

Matangazo ya Serikal kwny Magazeti yake na Kandarasi ya kubeba Vifurusho pale Kilimamjaro International Airport (KIA)

bila ya kusahau tangu 2006~2015 hakulipa hata Senti tano NHC kwa upangaji wake pale Bilicanus lakin Kina Nehemia walipokea maelekezo 'wasimbughudhi'

lakin ikawa Kila siku Matusi na kejeli kwa Jakaya hayaishi

Kila mchuma janga hula na wakwao
Hiyo ndiyo demokrasia siyo sasa CCM imejaa chuki za kishamba shamba vitendo haramu vya kishamba na kishetani
 
Mkuu maelezo mengi yanini . kwa Mara ya kwanza tuliona marundo ya kura feki zilizotikiwa magufuli yakizagaa mitaani. Lini umewahi ona kitu kama hicho kabla
Umeona au ya kuambiwa? Unaweza kuweka, hapa, picha hata moja ya hiyo karatasi ya kura?
 
Mungu yuko haijalishi hoja na matukio ya kumpinga yako kiasi gani. Mambo mengine usihitaji uthibisho maana ndicho unachotakaga.

Tuendelee na siasa,

Tupe updates za hapo USA kuhusu uchaguzi, Biden hapiti kweli?
Mungu ni nini?

Hilo la Mungu yupo unaamini au unajua?
 
Mkuu maelezo mengi yanini . kwa Mara ya kwanza tuliona marundo ya kura feki zilizotikiwa magufuli yakizagaa mitaani. Lini umewahi ona kitu kama hicho kabla
Ukichana karatasi ya kura kutoka katika kitabu inabaki nakala ya kumbukumbu ambayo hutunza.

Sasa ukikamata karatasi zinazagaa mtaani na unafamu kituo au kata zilikotoka au kukamatiwa komaa ...itunze mpaka utakapopata nafasi ya kuudhihirishia umma... Haijalishi ni lini.. ila is. Kweli.

Swali langu... Hukuwahi au hatukuwahi kuona hilo lakuzaGAA kura... Why now!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
MIKE POMPEO kawabananisha mbavu.

Toka lini ugaidi una dhamana?

Wamelegezwa na onyo kali la Waziri Beberu Pompeo!
 
Back
Top Bottom