Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe, Zitto Kabwe, Godbless Lema na Boniface Jacob waachiwa kwa dhamana

Mbona hizo kura feki zilizotikiwa Magufuli zimetandazwa sana mtandaoni japo serikali ya Magufuli ilizima internet kuogopa aibu.
Kwa matusi hujamfikia hata ¼ ya mgombea wako wa Urais na uongozi wote wa chama. Kama mitandao imezimwa hizo kura feki zilizotikiwa Magufuli zimetandazwa wapi? Kwa uwongo zamu hii watakula miaka jela
 
Kwa matusi hujamfikia hata ¼ ya mgombea wako wa Urais na uongozi wote wa chama. Kama mitandao imezimwa hizo kura feki zilizotikiwa Magufuli zimetandazwa wapi? Kwa uwongo zamu hii watakula miaka jela
Pumbavu tena. Hujui uandikalo. Wajanja tayari walikimbilia VPN na kuona kila kitu.
 
Tuliambiwa watashitakiwa kwa makosa ya kigaidi,na haya makosa hayana dhamana,imekuaje Tena?
 
Yule afande ana kiherehere sana, halafu anashabikia siasa kana kwamba ni simba na yanga.Ama kweli mwanafilosofia wa uyunani ya kale aitwaye PLATO katika utafiti wake hakukosea kupanga kazi za kufanya watu kulingana na IQ zao.

Lini sheria imebadilishwa ili magaidi wapewe dhamana? Yule afande aache kufanya kazi yake kiushabiki wa kisiasa hata kama ni kwa mujibu wa sheria itayotawala kazi yake.
 
Hivi nyie Chama Cha Majambazi hamjui kwamba huwa Kuna mwisho na mwisho majambazi yanamalizanaga yenyewe jambazi kuu linajua halipendwi na asilimia 90 ya watu wake
Ipo siku watu watajitambua hata miaka 100 mbele hili siwezi ita jiwe manake jiwe linadumu ili tuite jambazi
 
Dua za kishetani mwisho wake ni chato
Wanajichanganya wenyewe. Kwa mujibu wa sheria kosa la ugaidi halina dhamana. Hawa kwa nini wamewaachia kama siyo hila za kuwaonea?
 
Marekani hawezi itisha nchi yoyote kwenye maswala ya ndani mana mkataba wa mahusiano ya kimataifa na diplomasia havi ruhusu hiyo kitu
Kama hawawezi mbona mashitaka yaananza kuwa diluted. Mwanzo walisema ugaidi. Ugaidi ni kosa ambalo huwezi achiwa kwa dhamana.
 
Na j2 utamwona kanisani anapokea Sakramenti takatifu
Mkuu Babati ,hiyo haitakuwa sakramenti takatifu tena.
Mtu muovu na kila kitu afanyacho akiwa na uovu wake hawezi kutoa au kupokea kitu kisafi. Apokeacho na atoacho vyote vinakuwa na uovu wake. Najisi
 
Back
Top Bottom