macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Mkuu bora hata angekuwa diktekta kamili. Dikteta uchwara ni diktekta mjinga, hohehahe asiyejilewa na anayedili na vitu vvya kijinga. Tukisema ni diktekta wa daraja la juu tutampa ''ujiko'' ambao hana. Diktekta uchwara ni hovyo kuliko diktekta wakubwa.Huyu sasahivi ni dikteta kamili daraja la juu