Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Hakuna Mungu, acha kuamini kila unachoambiwa na wapotoshaji. Vitabu vilivyoandikwa na primitives miaka 4000 uliyopita wewe unaviamini? Ni maneno mangapi yametolewa na kuingizwa ndani yake? Ni vingapi vimewekwa humo kusaidia kisiasa makafiri wa zama kama huyu Magu?Ningekua mimi ni Mungu yani Magufuli angenitambua!
Huwezi ninyanyasia watu wangu kwenye Nchi yao halafu unaniletea unafiki kwenye nyumba yangu ya Ibada na huku mikono yako imejaa damu zisizo na Hatia. Ningemnyoosha haswa.
Bahati yake mimi siyo Mungu.