Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
freemason exist, they control each and everythng u care about. They can cancel u in a matter of seconds.
 
wapo na wachungaji mbona hamuwasemi na miujuza yao ya pete za freemasons
 
Jamani, nilipata kusikia toka kwa mhadhiri wa muhimbili au information officer wao kuwa ile logo ya mwimbili kuna ugonjwa ulikuwa unaua ugonjwa huo kuna mnyoo anaota kwenye kidonda mnyoo ule hausikii dawa au haukuwa na dawa so walichokuwa wanafanya ni kukita sort of fimbo yenye moto hadi anakufa thats why ule mnyoo umezunguka fimbo chonde chondeni ndugu zangu.
 
Ni muda mrefu sasa hii kitu inaitwa freemason imekuwa ikivuma na kuteka akili za watu wengi(thank God haijanikumba hata kidogo),ila kama kawaida ya kitu kinapokuwa kileleni/kinapovuma kinavuta hisia za waliokuwemo na hata wasio kuwemo.Hivyo nami nina vitu ninajiuliza kuhusu huu uvumi.

Ninajiuliza hivi hawa wanaoitwa freemason kweli...
1.Wanaabudu shetani/lucifer,na je...wanamwabudu kwa kujua ama la,.?
2.Kama wanamwabudu kwa kujua_hatima yao ni nini..?_maake tumefundishwa makanisani/misikitini kwamba wamwabuduo shetani mwisho wao ni motoni...kwahiyo wao wameamua kwenda motoni kwa hiyari..?
3.Wengi wa wanasadikiwa ni wafuasi wa freemason ni watu makini na wana uwezo wa kupambanua mambo kwa weredi wa hali ya juu kabisa_wameshindwa kweli kujua hiyo njia sio sahihi?
4.Wengi wao ni matajiri_huyu lucifer ana nguvu sana za kugawa utajiri kuliko Mungu...?maake watu wanakesha makanisani na misikitini lakin_wengi ni hohehahe compared to wale wa_mason.
5.Hii ni dini ama organisation..?
6......
7......
Nb:Baadhi ya watu wanaohusishwa na freemason ni kama Sir.Andy Chande,Marcus Garvey,Jesse Jackson,Rev.Al Sharpton,Andrew Young,Allen G.White,Bush Jr,Obama,Bill Gates,yule dogo mwenye mtandao wa fb etc,..you can see ni watu makini na wenye mafanikio makubwa.

My take:Nahisi hii kitu inasingiziwa baadhi ya mambo inayohusishwa nayo,kwani kama ingekuwa hivyo Mungu asingeruhusu huu utukufu umwendee shetani na watu wake....lo!

Nawasilisha wajomba......!

Karibu.
 

nimewaelewa hawa watu kiundani kidogo,nahitaji zaidi
 
nimewaelewa hawa watu kiundani kidogo,nahitaji zaidi

soma tu nje ya JF utakuta mengi na yamenandikwa na watu mbalimbali kwa mitazamo mbalimbali.
Kubwa ujue kuwa hizi secret societies za zamani zimepanuka sana, sio rahisi kujua hata 50% yake kwa kusoma siku moja.
kwanza ni utamaduni wa zamani ambao maadili yake hayapo sana. sie tumerithi mabaki ya juujuu tu.

Historia imeandikwa na watu wenye interst mabalimbali.

society yenyewe imekuwa siku hizi kwa sera m balimbali kutegemeana na walioirithi
happy studying!
 

kweli kabisa,nakuunga mkono
 
I don't care they are evil or not, only God knows. I do not want to judge anyone. Wala sina haja ya kujiunga nao, ila siwezi kumtenga mtu ambaye yupo huko, ni maisha yake. Cha msingi asinisumbue na Mambo yake. Period!
 
Interesting rumours...Africa will never develop for only one great reason "FEAR".... kila kitu kibaya anasingiziwa freemason,Hii ni AIBU kudangany UMMA tena kwa kugoogle, internet imecorrupt,Waafrica tunakubali kupewa sababu eti kwanini sisi ni masikini na tunaamini, wanasema ni ngumu kwa tajiri kuuona ufalme wa mbingu lakini sasa imekua kinyume.. Maskini amejaa ujinga na mawazo ya kupachikiwa.. Uelewa wenu wa freemason ni mdogo sanaa na kama mnaamini ivyo ni kwa sababu mnatafuta sababu za kwanini maisha yenu ni magumu, hakuna source ya kuaminika wala ya ukwelii:

Ukitaka kumficha Mwafrika mrahisishie mambo tumia internet anakuta mambo yaleyale ya uongo anayoyapenda...

FANYA UCHUNGUZI WA KUTOSHA NA UREASON VIZURI SIO KILA UNACHOAMBIWA UNAKUBALI...
 
duu ingewekwa kwa kiswahili ingesaidia MELO weka ya kiswazi bana wengine ngeli inachukua muda kuelewa tunasoma lakini kuelewa mpaka urudie mara mbili
 
blessed was king solomon but he went for his gods and sinned a great sin enduring the to date,thanks God so loved the world that he gave us his only begotten son JESUS CHRIST to save the world.
He has the key of eternal life,nothing will rapture his kingdom and all in it,his enemies who are our enemies are deffeated after his blood shed.

www.myopera.com/jleonny/antichrist
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…