Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Nilishamaliza mimi,sina muda wa kubishana,matokeo yake ni magomvi.Amini MUNGU unayetaka,kama unataka kumwabudu MUNGU wa Freemasons ambaye ni Shetani sawa tu.Ndipo wanapofaulu kuwahamisha kwenye reli .hakuna mjadala wowote wala ubishani kuwa Mungu yupo .ila aabudiwe vipi na ni nani ndo mgogoro.
Kokote aliko Mungu ni shahidi wangu kuwa nafasi yake umetumika sana kudidimiza wanadamu .ziko hata falme ziliwahi dumu kwa kutengeneza mungu wa uongo na ukihoji wanajibu kama ww ooh hataniwi mara ni mkali.
MUNGU ambae hataki tuhoji jinsi sahihi ya kumendea atakuwa basi mdhaifu sana.