Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Hakuna Freemasons...ni Idea tu ya kipumbavu iliyotungwa kudanganya wajinga.
 
Juzi nilitumiwa sms nilichukia mno, wanatoa na no za sm zao, sijui walipata wapi no zangu? Sijawajibu ila nimeumia Shetani kunifuatilia
hao sio Freemason...ni matapeli hao walikuwa wanakulia timing wakuingize mjini
 
Melo, do you still believe Freemasonry is satanic? I'd like for the answer to be no, so that I can ask you to write a different review. This one was your view of Freemason back then, how would you describe the organization today?
 
hujafikiria kusudio la kuanzisha hiyo timu ili ipate wafuasi zaidi ya kunyoosha hivyo vidole!sasa wafwatilie waanzilishi wa hizi timu taarifa zao utakuta ndo wale wale!
U CANT RUN! U CANT ESCAPE!.
 
kwetu cc waislaam mtume alituusia zama za mwisho kutakua na kundi la watu waabudu mashetani wataleta fitna kubwa katika ulimwengu!na hao ndo watakua wafuasi wa masih dajjar!kwa wakristu humuita mpinga kristo!na utambuzi wao utakua mfano wa tunda wa zabibu ukiwa kwenye mti!sasa kazi yako ww tafuta mzabibu ulipo kwenye mti wake jinsi ulivyo!ndo utajua ukweli kua hawa ni wakala wa iblis[emoji49] [emoji48]
 
Yule nyoka ktk Hospitali ya Muhimbili atumiwi kama kiwakilishi cha Musa alivyomuinua nyoka wa shaba ktk Biblia ili wana wa Israel wapone kupitia nyoka huyo, Bali Muhimbili wanamtumia kama "Guinea Worm"
 
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.
 
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.
Paul mzushi,baada kuona hawezi kuyashinda maafundisho ya Yesu(Isa),akaamua kuja na mafundisho yake kwa mgongo wa Yesu,Paul kaingiza upagani kwenye dini ya kikiristo,..

Yesu alisema hakuja kubadilisha sheria(taurat) bali amekuja kuzitukuza,na yeyote asiefata sheria hawezi kuuona utawala wa Mungu(Pepo),kama wewe unamfata Paul(Soul) mfate tu, mkuu
 
Yesu siyo Issa, ni wapuuzi tu wanaolinganisha
 
Mkuu wewe ni noma...Biblia ina watu wengi type za akina Paul lkn wewe ukamua kumdissaprove Paul, what is your interest? Kingine Biblia inasema Yesu alikuja kuitimiliza taurat wewe unasema Kuitukuza asee!
 
Naomba uthibitishe hilo dai lako la kumuhusu Paul
 
Naomba uthibitishe hilo dai lako la kumuhusu Paul
Mkuu, kwani Paul katokea wapi,je alikuwa mmoja katika wanafunzi wa Yesu,je Paul ameshawahi kuonana na Yesu,Kwanini alikuja kupindisha pindisha mafundisho ya Yesu...

Maneno ya Yesu kuhusu sheria za Musa
Matayo 5:17 “Msidhani kwamba nimekuja kufuta sheria ya Musa na mafundisho ya manabii. kwamba mpaka mbingu na dunia zitaka potoweka, hakuna hata herufi moja ya sheria itakayopotea mpaka shabaha yake ikamilike."

Matthew 5:17 “Think not that I am come to destroy the Law or the Prophets. I am not come to destroy, but to fulfill"...

Hapa mkuu itabidi unisaidie,kwanini tafsiri ya kiswahili na hii ya biblia ya king james zimetafautiana...

Anyway, hayo ndio maneno ya Yesu kuhusu sheria za Musa(Taurat),Sheria za taurat zinasema wanaume watahiriwe ,binaadamu wasile Nguruwe,tumche Mungu mmoja tu,tuwapende majirani..nk

Biblia kuhusu sheria za Musa(Amri kumi Musa alizopewa na Mungu):Kutoka 31:18
Ya kwanza: "Thou shalt have no other gods before me": "Hakuna Mungu wa kuabudiwa isipokuwa mimi(Mungu),kwa kiarabu "Laila haila allah"..
https://en.wikipedia.org/wiki/Thou_shalt_not_make_unto_thee_any_graven_image
Ya pili:(2):"Thou shalt not make unto thee any graven image":Msiabudu masanamu"..

Hizo sheria ziko kumi lakini kwa leo nitakuwekea mbili za mwanzo...Mkuu kwasababu Paul kapinga hizi sheria,kapinga mafundisho ya Yesu ndio sababu yangu kubwa ya kumkana huyu Paul aka Soul
 
Naona umechagua kutokumuani Paul kama vile wengine walivochagua kutokumuamini Yesu....kichwa ni chako na akili ni ya kwako unaweza kuamua kuchagua chochote kwa kujenga hoja yoyote.

Wakati mwingine tunapoongea maneno ya kukatisha tamaa Vila kuwa na hoja ya kujifunza tunakosea haya mambo ya imani ni magumu sana inatakiwa tushirikiane katka kueleweshana wakuu hamna aijuaye dini yake au ukweli wa dini yake kwa asilimia mia ila kupitia kujifunza ndio tunapata ukweli na ktk kujifunza ni kupitia watu, kusoma majarida na vitabu vyenye historia mbali mbali na ya wezekana mmoja wetu au wote hatuko sahihi au kitu alichokitoa ndio ukwel tusikatishane tamaa[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
 
Found these some of the historic symbols of Freemasons. Among the most powerful Freemasons; the first President of the United States of America had a strong relationship with the Masons. Whereas Benjaim Franklin became a member when he started his own community.
 

Attachments

  • download.jpg
    8.9 KB · Views: 154
Ni ngumu kukataa kuwa tz haijaunganishwa na freemason kiutawala kwa sababu zifuatazo.
1.Alama ya mwenge ambao ni moto huzungushwa nchi nzima na moto ni tambiko pia.
2.Uwepo wa nyoka ktk baadhi ya fedha za nchi hii ambazo hutumiwa na watu wote. Kwa asili kila mtz ni freemason bila kujielewa.
3.Ukifuatilia sana utagundua kuwa kila kabla ya uchaguzi wa raisi lazima mauaji maafa makubwa yatokee kisha uchaguzi rejea kuzama mv bukoba.meli kule nungwi na nyinginezo.Hizi ni kafara.
3.Tawala za sababu,hali hii inatokana na ukweli kuwa wanajiamini kwani muumini yeyote wa freemason hafungwi jela,hashindwi uchaguzi hata akataliwe vipi mnaweza mkashinda kura yeye akashinda uchaguzi kwa means yoyote ile.

Makanisa mengi yameunganishwa freemason hivyo hatari kuongezeka.Inahitaji kuomba na kumwabudu Mungu ktk roho na kweli pia huwezi kuwakwepa freemason ukiwa na tamaa ya pesa vyeo wanaweza Mali umaarufu kwani njia na mbinu zao ni kupitia huko.
 
Last edited:
Nakataaa Nyerere na Magufuli hawamo..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…