Freemasons katika siasa na dini

Freemasons katika siasa na dini

Ukatoliki una nguvu sana tangu zamani na umeteka makanisa mengi kutia ndani SDA. Je wajua imani ya utatu mtakatifu(Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu) lilianzishwa na Roman Catholic chini ya maliki Costantino? Kanisa lolote linaloamini utatu mtakatifu liko chini ya himaya ya Catholic! Je wajua msalaba si nembo ya wakristo bali iliingizwa kwenye ukristo na Roman Catholic church? Ikiwa kanisa lako linatumia msalaba kama logo yake basi liko chini ya RC! Kuna mambo mengi mno.....
 
Freemason ni mfumo Tu wa nguvu za Giza uliopo ulaya , huku tuna mfumo wetu wa waganga wa kienyeji, mmiliki Yule Yule kaya tofauti , na waliostarabika zaidi basi freemason wanachukua nafasi , Dunia ni ya Mungu Ila shetani ndo mkuu wa dunia hii .....
rejea mungu wa Dunia hii...
kwa nini mungu wa Dunia hii?...kuna mengi tunayapotosha sana.
 
rejea mungu wa Dunia hii...
kwa nini mungu wa Dunia hii?...kuna mengi tunayapotosha sana.
Mkuu mi nimesema dunia ni ya Mungu Ila mkuu wa dunia ni Shetani , nimerejelea kauli ya Yesu aliyosema " Yuaja mkuu wa Ulimwengu huu naye Hana kitu kwangu" akimaanisha shetani .... Ilikuwaje kuwaje akawa mkuu wa Ulimwengu wakat sio wa kwake Hilo ni somo jingine chief .... Hii ni Kwa wakristo lakini
 
Naam..slow but sure
 
Kuna kitu kinaitwa la Resurrezion. Hebu ka kiangalie vizur maana kinapatikqna kwenye jengo la mikutano la Papa huko Vatican
 
Hizi dini zilizoanzishwa na vikundi vya watu uchochoroni, zimejikita sana kwenye majungu.
Huwezi kuta dini kubwa kama Islamic, roman catholic zinapoteza muda kujadili iman za watu wengine
Tena hao wasabato wamejikita sana kusoma umbea wa elen G white na hadithi zake za uongo kuhusu Freeman
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
1619445308655.png
 
Mambo mengi duniani ni propaganda, tena propaganda nyeusi.

Ukiacha hilo la propaganda.

Kuna hili la kitabu cha "Ufunuo" kinasemwa sana.

Sina uhakika kama wanaokilejelea katika madai yao wanamfahamu msingi wake.

Kuna mambo msingi ya kuangalia katika hiki kitabu katika kujua ukweli wake:

Mwandishi wa hiki kitabu ni nani? Alikiandika katika mazingira gani? Lengo lake Lilikuwa ni nini? Aliwandikia nani?

Ni uandishi wa aina gani mwandishi ametumia? Kwa nini? Ujumbe wake ni nini?

Kwa nini kitabu cha ufunuo na sio kitabu kingine katika biblia?

Kwanini Kanisa katoliki linahusishwa na kitabu cha ufunuo? Kwenye hili swali nataka kufahamu: Kanisa katoliki linashughulika na nini na kitabu cha ufunuo kinashugulika na nini?

Kwa maneno mengine, Kanisa katoliki linafundisha nini na kitabu cha ufunuo kinafundisha nini?
 
Wasabato wakitokaga kanisani jmosi...na wakiwa na public holiday j3 hii ndo inakua impact.
Wanavunja amri ya pili kwa maneno ya ujanjaujanja na upotoshaji wa maandiko.
Katika ulimwengu mpya hakutakuwa na ibada za namna hii.
1619445770107.png
 
Mambo mengi duniani ni propaganda, tena propaganda nyeusi.

Ukiacha hilo la propaganda.

Kuna hili la kitabu cha "Ufunuo" kinasemwa sana.

Sina uhakika kama wanaokilejelea katika madai yao wanamfahamu msingi wake.

Kuna mambo msingi katika hiki kitabu ya kuangalia kando na ukweli.

Mwandishi wa hiki kitabu ni nani? Alikiandika katika mazingira gani? Lengo lake Lilikuwa ni nini? Aliwandikia nani?

Ni uandishi wa aina gani mwandishi ametumia katika kuwasilisha ujumbe wake? Kwa nini? Ujumbe wake ni nini?

Kwa nini kitabu cha ufunuo na sio kitabu kingine katika biblia?

Kwanini Kanisa katoliki linahusishwa na kitabu cha ufunuo?

Kwenye hili swali nataka kufahamu Kanisa katoliki linashughulika na nini na kitabu cha ufunuo kinashugulika na nini?

Kwa maneno mengine, Kanisa katoliki linafundisha nini na kitabu cha ufunuo kinafundisha nini?
Katika karne ile ya kumi na tatu kilinzishwa chombo cha papa cha kutisha mno - yaani, ile Inkwizisheni (Inquisition) [Mahakama ya Kanisa Katoliki ya kukomesha uasi, hasa katika karne ile ya 15 na 16; pia inaitwa ‘Ofisi Takatifu’ ambayo inaendeshwa na Majesuti

(Jesuits) au Chama cha Yesu (Society of Jesus)] ni chama cha KIKATILI SANA

1619445957959.png

watu wengi waliuliwa au kuteswa, wengine kukimbia , yote ni baada ya kusoma unabii wa daniel n ufunuo na kutamka waz wazi kuwa UPAPA UNAHUSIKA,

Watu kama ISAACK NEWTON, JOHN WYCLIFE, JOHN KNOX,JOHN HUSS, MARTIN LUTHER n.k walikiona cha moto, NDIO CHANZO CHA MAJESUIT KUANZISHA mahakama au chombo maalumu(INQUISTION) cha kutesea wanaosoma nakutangaza JINSI ROMA INAVYOHUSIKA KILA KITU NA UNABII WA UFUNUO NA DANIEL

1619446330163.png

1619446396686.png

1619446502836.png

Machi 12, 2000 Papa Yohana Paulo II (John Paul II) alikubali kwamba kanisa liliua Wakristo zaidi ya milioni 100, na akaomba msamaha kwa ajili ya mauaji yaliyofanywa na kanisa (thibitisha hapa:"Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?"]Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?)

1619446361740.png

1619446362226.png

1619446374891.png
 
Hawajamuhusisha kimakusudi, wameangalia historia ya dhehebu, nyakati ilizopitia na mienendo yake(tamaduni zake za kuabudu) then wakacompare na kwenye biblia wakapata cha kusema
Machi 12, 2000 Papa Yohana Paulo II (John Paul II) alikubali kwamba kanisa liliua Wakristo zaidi ya milioni 100, na akaomba msamaha kwa ajili ya mauaji yaliyofanywa na kanisa (thibitisha hapa:"Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?"]Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?)

1619446889128.png
 
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
View attachment 1764849
Shida yoote hiyo unajipa ya nini ndugu..Unadini iliyobora ambayo hadi elen G white kawapa formula ya kucalculate siku ya kiama huku kwingine kunakuwashia nini.

Kitendo cha kuingilia imani ya watu wengine huo ni upumbavu na ujinga inawezakana hata babu yako alikuwa akiabudu mizimu huko, now unajifanya mjuaji kwa dini za kuletewa.

Kama hiyo dini yako ndio waona inakibali machoni pa bwana ,wengine woote tuliobaki ni wajinga go ahead.
 
mbona hasira hivo ndugu, wapi kuna ku calculate kiama, wewe unataka nifate dini ya babu, hujui kila mtu atahukumiwa peke yake

UKWELI lazima uhubiriwe hata kama ni mchungu....

TOKENI KWAKE ENYI WATU WANGU Ufunuo 18:4

1619451712407.png
 
isaya 40
9 Wewe uuhubiriye Sayuni habari njema, Panda juu ya mlima mrefu; Wewe uuhubiriye Yerusalemu habari njema, Paza sauti kwa nguvu; Paza sauti yako, usiogope; Iambie miji ya Yuda, Tazameni, Mungu wenu.

Mk 7​

6Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa,
Watu hawa huniheshimu kwa midomo
Ila mioyo yao iko mbali nami;
7Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu,
8Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
9Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

1619451782027.png

1619451824629.png
 
Haya masuala huwaga hayanaga mshindi maana wewe ukijidai unaichambua Freemasons, vikaja vichwa vikaweka fact za dini yako. Utajikuta unapotea katika imani yako au kile unachoamini

Kuna kitu kinaitwa 🆓will. Sasa ukijiona wewe upo sahihi basi jua mwenzako yupo sahihi vilevile
 
mbona hasira hivo ndugu, wapi kuna ku calculate kiama, wewe unataka nifate dini ya babu, hujui kila mtu atahukumiwa peke yake

UKWELI lazima uhubiriwe hata kama ni mchungu....

TOKENI KWAKE ENYI WATU WANGU Ufunuo 18:4

View attachment 1764960
Sasa kwanini unapoteza muda kuponda dini za wengine huoni kama wewe ni punguani hazimo,.maana wasema kila mtu atahukumiwa peke yake, jaribu kupunguza ujinga

Huo muda unaopoteza kufatilia dini za wengine ungetumia kumsoma mwokozi wako elen G white
 
Back
Top Bottom