Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rejea mungu wa Dunia hii...Freemason ni mfumo Tu wa nguvu za Giza uliopo ulaya , huku tuna mfumo wetu wa waganga wa kienyeji, mmiliki Yule Yule kaya tofauti , na waliostarabika zaidi basi freemason wanachukua nafasi , Dunia ni ya Mungu Ila shetani ndo mkuu wa dunia hii .....
Mkuu mi nimesema dunia ni ya Mungu Ila mkuu wa dunia ni Shetani , nimerejelea kauli ya Yesu aliyosema " Yuaja mkuu wa Ulimwengu huu naye Hana kitu kwangu" akimaanisha shetani .... Ilikuwaje kuwaje akawa mkuu wa Ulimwengu wakat sio wa kwake Hilo ni somo jingine chief .... Hii ni Kwa wakristo lakinirejea mungu wa Dunia hii...
kwa nini mungu wa Dunia hii?...kuna mengi tunayapotosha sana.
Naam..slow but sureMkuu mi nimesema dunia ni ya Mungu Ila mkuu wa dunia ni Shetani , nimerejelea kauli ya Yesu aliyosema " Yuaja mkuu wa Ulimwengu huu naye Hana kitu kwangu" akimaanisha shetani .... Ilikuwaje kuwaje akawa mkuu wa Ulimwengu wakat sio wa kwake Hilo ni somo jingine chief .... Hii ni Kwa wakristo lakini
WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.Hizi dini zilizoanzishwa na vikundi vya watu uchochoroni, zimejikita sana kwenye majungu.
Huwezi kuta dini kubwa kama Islamic, roman catholic zinapoteza muda kujadili iman za watu wengine
Tena hao wasabato wamejikita sana kusoma umbea wa elen G white na hadithi zake za uongo kuhusu Freeman
Wanavunja amri ya pili kwa maneno ya ujanjaujanja na upotoshaji wa maandiko.Wasabato wakitokaga kanisani jmosi...na wakiwa na public holiday j3 hii ndo inakua impact.
Katika karne ile ya kumi na tatu kilinzishwa chombo cha papa cha kutisha mno - yaani, ile Inkwizisheni (Inquisition) [Mahakama ya Kanisa Katoliki ya kukomesha uasi, hasa katika karne ile ya 15 na 16; pia inaitwa ‘Ofisi Takatifu’ ambayo inaendeshwa na MajesutiMambo mengi duniani ni propaganda, tena propaganda nyeusi.
Ukiacha hilo la propaganda.
Kuna hili la kitabu cha "Ufunuo" kinasemwa sana.
Sina uhakika kama wanaokilejelea katika madai yao wanamfahamu msingi wake.
Kuna mambo msingi katika hiki kitabu ya kuangalia kando na ukweli.
Mwandishi wa hiki kitabu ni nani? Alikiandika katika mazingira gani? Lengo lake Lilikuwa ni nini? Aliwandikia nani?
Ni uandishi wa aina gani mwandishi ametumia katika kuwasilisha ujumbe wake? Kwa nini? Ujumbe wake ni nini?
Kwa nini kitabu cha ufunuo na sio kitabu kingine katika biblia?
Kwanini Kanisa katoliki linahusishwa na kitabu cha ufunuo?
Kwenye hili swali nataka kufahamu Kanisa katoliki linashughulika na nini na kitabu cha ufunuo kinashugulika na nini?
Kwa maneno mengine, Kanisa katoliki linafundisha nini na kitabu cha ufunuo kinafundisha nini?
Machi 12, 2000 Papa Yohana Paulo II (John Paul II) alikubali kwamba kanisa liliua Wakristo zaidi ya milioni 100, na akaomba msamaha kwa ajili ya mauaji yaliyofanywa na kanisa (thibitisha hapa:"Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?"]Truth Provided Newsletter -The Pope and Forgiveness?)Hawajamuhusisha kimakusudi, wameangalia historia ya dhehebu, nyakati ilizopitia na mienendo yake(tamaduni zake za kuabudu) then wakacompare na kwenye biblia wakapata cha kusema
UbarikiweAhsante kwa Uzi bora Mkuu.
Shida yoote hiyo unajipa ya nini ndugu..Unadini iliyobora ambayo hadi elen G white kawapa formula ya kucalculate siku ya kiama huku kwingine kunakuwashia nini.WAKATOLIKI wana mwanadamu waliempa jina lenye wadhifa na wasifu wa Mungu peke yake, yaani " Baba Mtakatifu" Soma: Yohana 17:11Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo.
Umeona hiyo aya inavobainisha kuwa "Baba Mtakatifu" ni jina la Mungu? Lakini Wakatoliki wana babao mtakatifu mwingine!!!!!? KUFURU!.
View attachment 1764849
mbona hasira hivo ndugu, wapi kuna ku calculate kiama, wewe unataka nifate dini ya babu, hujui kila mtu atahukumiwa peke yakeShida yoote hiyo unajipa ya nini ndugu..Unadini iliyobora ambayo hadi elen G white kawapa formula ya kucalculate siku ya kiama huku kwingine kunakuwashia nini.
Kitendo cha kuingilia imani ya watu wengine huo ni upumbavu na ujinga inawezakana hata babu yako alikuwa akiabudu mizimu huko, now unajifanya mjuaji kwa dini za kuletewa.
Kama hiyo dini yako ndio waona inakibali machoni pa bwana ,wengine woote tuliobaki ni wajinga go ahead.
isaya 40Shida yoote hiyo unajipa ya nini ndugu..Unadini iliyobora ambayo hadi elen G white kawapa formula ya kucalculate siku ya kiama huku kwingine kunakuwashia nini.
Kitendo cha kuingilia imani ya watu wengine huo ni upumbavu na ujinga inawezakana hata babu yako alikuwa akiabudu mizimu huko, now unajifanya mjuaji kwa dini za kuletewa.
Kama hiyo dini yako ndio waona inakibali machoni pa bwana ,wengine woote tuliobaki ni wajinga go ahead.
Sasa kwanini unapoteza muda kuponda dini za wengine huoni kama wewe ni punguani hazimo,.maana wasema kila mtu atahukumiwa peke yake, jaribu kupunguza ujingambona hasira hivo ndugu, wapi kuna ku calculate kiama, wewe unataka nifate dini ya babu, hujui kila mtu atahukumiwa peke yake
UKWELI lazima uhubiriwe hata kama ni mchungu....
TOKENI KWAKE ENYI WATU WANGU Ufunuo 18:4
View attachment 1764960