Freemasons katika siasa na dini

Sasa kwanini unapoteza muda kuponda dini za wengine huoni kama wewe ni punguani hazimo,.maana wasema kila mtu atahukumiwa peke yake, jaribu kupunguza ujinga

Huo muda unaopoteza kufatilia dini za wengine ungetumia kumsoma mwokozi wako elen G white
kuambiwa ukweli ni kupondwa? basi biblia ndio itakuwa ya kwanza kuwaponda, kwa tafsiri ysko

Zab 115:4-8 SUV​

Sanamu zao ni fedha na dhahabu, Kazi ya mikono ya wanadamu. Zina vinywa lakini hazisemi, Zina macho lakini hazioni, Zina masikio lakini hazisikii, Zina pua lakini hazisikii harufu, Mikono lakini hazishiki, miguu lakini haziendi, Wala hazitoi sauti kwa koo zake. Wazifanyao watafanana nazo, Kila mmoja anayezitumainia.

Yeremia 10


2Mwenyezi-Mungu asema hivi:
“Msijifunze mienendo ya mataifa mengine,
wala msishangazwe na ishara za mbinguni;
yaacheni mataifa mengine yashangazwe nazo.
3Maana, mila za dini za watu hawa ni za uongo.
Mtu hukata mti msituni
fundi akachonga kinyago cha mungu kwa shoka.
4Kisha watu hukipamba kwa fedha na dhahabu
wakakipigilia misumari kwa nyundo
ili kisije kikaanguka.
5Vinyago vyao ni kama vinyago vya kutishia ndege

katika shamba la matango,



 
Sikutegemea kama hivi ndivyo ungejibu maswali niliyoyauliza hapo juu.

Tufahamu hii taasisi (inquisition) ilianzishwa wakati gani? Kwanini? Na kwa malengo gani?

Muhimu zaidi ni kuwa, kwanini Kanisa katoliki lilianzisha taasisi hii?

Kanisa katoliki walipata wapi mamlaka au waliruhusiwa na nani kuanzisha taasisi ya kupambana na kuondosha uzushi dhidi ya imani na maadili duniani? Hili ni muhimu sana kulielewa kwa kina kuliko hata hiyo taasisi yenyewe (inquisition).

Ni vizuri tukajifunza elimu ya vitu na kuwa na uelewa wa mambo.

Suala hapa ni Kanisa katoliki ni nini na linasimamia ni nini. Tukielewa hili tutafahamu ukweli wa mambo.

Wasiwasi hapa ni kuwa hatuna elimu ya vitu na uelewa wa mambo kwahiyo hatufahamu kanisa katoliki ni nini. Kwa sababu hiyo tunapotoshwa na kuishi uzushi.

Makosa ni haya: Makrelo kama mtu mmoja anafanya makosa. Lakini makosa hayo hayawi Kanisa katoliki limefanya makosa.

Kanisa haliwezi kufanya makosa na halikosei kwasabu lenyewe sio mamlaka ya kibinadamu lakini linashughulika na binadamu.

Sisi, hasa waafrika tunapenda sana uzushi kuliko ukweli. Uzushi ni hatari zaidi kama ulivyo upotovu. Mambo haya mawili ni mauaji mabaya zaidi wakati wote yasipodhibitiwa.

Angalia Afrika, kwa mfano ni mamlioni ya watu wanakufa kwa imani potofu na uzushi? Hili umeliangalia kwa kina ukaona ukweli wake?

Ndio Papa, Mtakatifu Yohana Paulo II, aliwahi kuomba radhi kwa makosa yaliofanywa na makrelo katika vipindi mbalimbali katika Kanisa, lakini hilo sio kanisa bali watu ndio walitenda uovu huo.

Nitasema pia juu ya shirika la Ma-Jesuits.
 
Na ndiyo maana biblia ni tishio kubwa sana kwa kanisa la Romani Katholiki.wanajua kwamba watafichuliwa na maandiko matakatifu ambayo huendana kabisa na jinsi matukio ya kihistoria yailivyo .Na ndiyo maana miaka iliyopita RC ilifanya iwezavyo ili kuficha biblia hata isipatikane mikononi mwa watu. Baada ya uvumbuzi wa uchapishaji,walijikuta hawawezi kuificha tena.

Hivyo waliamua kupotosha maandiko kwenye biblia katika juhudi za kuficha ukweli. Na ndiyo maana leo hii unaona biblia za kishenzi ambazo kweli ya Mungu imetupiliwa mbali au imebatilishwa.

Hata hivyo mwovu hawezi kuruhusiwa kabisa kufuta kweli yote ya Mungu katika mandiko matakatifu. Mpaka sasa Biblia yenye usalama kwa kipindi hiki,ambayo ina mapungufu madogo tena ambayo mengi yao ni katika matumizi ya “alama za uandishi” ni biblia ya “King James”. Mungu atukuzwe kwa kulilinda neno lake kwa ajili ya wamchao. Litukuzwe jina lake kwa kuwa bado tunaweza pata mafundisho na mahusia ya Mungu kama neno lisemavyo; “Elekeza moyo wako kusikiliza mafundisho; Tega masikio yako kusikia maneno ya maarifa.” Mithali 23:12.

Kwa hivyo basi hata ukichunguza vitabu vya kihistoria ukaangalia na sifa za ile pembe ndogo hakuna kitu kingine isipokuwa ni Upapa ndio unaoendana na sifa hizo kwa uhakika.

“ ni marufuku kwa mtu wa kawaida kusoma agano la kale wala jipya. Wakuu wa wilaya watahusika kuwatafuta kwa umakini wazushi wote katika makazi yao na hata mafichoni ili kuwashughulikia kikamilifu”. Council Tolosanion, Pope Gregory IX, Anno.Chr.1229.

 
Vatican inatambua vyema kuwa Biblia inaweza kufichua siri zote zinazotendeka humo. Hivyo ilifanya juu chini ili kuhakikisha Biblia haipatikani kwa waumini. Mbaya zaidi ni kwamba watu wengi waliuawa kikatili kwa sababu walikataa kukana kweli walizokuwa wamezisoma katika biblia zao. Na hiyo nayo ni moja ya sifa za hiyo pembe ndogo kama tunavyoshuhudia hapo chini.
Hebu tujikumbushe sifa chache za pembe ndogo tuone kama kweli zinapatana na upapa.

Hebu tuone namna biblia inavyoifichua hiyo mamlaka kama mpinga Kristo.

· Danieli 7:8 “Nikaziangalia sana pembe zake, na tazama, pembe nyingine ikazuka kati yao, nayo ilikuwa ndogo, ambayo mbele yake pembe tatu katika zile za kwanza zikang'olewa kabisa; na tazama, katika pembe hiyo mlikuwa na macho kama macho ya mwanadamu, na kinywa kilichokuwa kikinena maneno makuu.”

· Ufunuo 13:4 “Wakamsujudu yule joka kwa sababu alimpa huyo mnyama uwezo wake; nao wakamsujudu yule mnyama, wakisema, Ni nani afananaye na mnyama huyu? Tena ni nani awezaye kufanya vita naye?”
 
Unaandika zaidi uzushi. Jaribu kuwa mtu makini.
 
Hivi sasa, biblia anaruhusiwa kila mtu.

Sasa basi nini ambacho Kanisa katoliki lilificha kimefichuliwa?
 
Hivi sasa, biblia anaruhusiwa kila mtu.

Sasa basi nini ambacho Kanisa katoliki lilificha kimefichuliwa?
kuwa na biblia sio kujua kila kilichomo. Kwa kawaida wahumini wengi wa RC hawajatengenezewa tamaduni ya kujisomea maandiko na kujifunza. wenyewe

NB: sijazungumzia vya siri anazozisemea huyo
 
Mungu akubariki sana kiongozi umetufumbua macho ya rohoni,Ila naomba kuuliza Jambo moja kwenye article yako umekazia sana neno ulaji wa NGURUWE kwani ni dhambi kibiblia??
 
Wasabato majungu hayatawafikisha mbinguni. Shauri yenu
Hoja zenu haziwezi kusimama zenyewe bila kutaja Papa au Roman Catholic
Mimi sio msabato lkn kweli hili naungana na wasabato Roman Catholic ni satanic worshipers
 
Umeandika upumbavu.
 
Hapo kwenye kuabudu masanamu wakatoliki hawawezi kukupa majibu na ukiendelea kuuliza wanaweza kukupiga ngumi ya pua kama sio ya jicho,
Huwezi kuzisoma amri za Mungu halafu hapo hapo ukakiuka tena amri ya pili tu,

Kifupi waumini wao wanajua fika kua wanadanganywa ila wakiwaza kua usiposhiriki kanisani na jumuiya ukifa hawakuziki basi inabidi wajikaze tu.
 

Usabato ndio ufreemason na wanatumika kuvurga dini nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…