Freemasons na siri ya namba 255

Mi naomba nkutukane. We ni FALA
 
Mtoa mada,
Mambo uliyoyaeleza kuhusuana na namba 255 kwa nini umeya associate ya freemasonry??
1. Rangi nyeupe ina maana pia katika ulimwengu wa nuru
2. Namba 3 pia ina maana katika ulimwengu wa nuru, ikiwakilisha utatu mtakatifu
3. Namba 12 pia ina maana katika ulimwengu wa nuru.. nenda kasome historia ya wana wa Israel.

Hivyo, sijaona hoja yakinifu ya kuhusisha na mambo ya freemasonry

Mwisho kabisa, hata kama ni kweli, Why Tanzania!?? Elezea tukuelewe
 
Hizi zote ni habari za kupangwa na watu tu.

Hapa huna a naturally occuring ratio hata moja.
 
Mtoa mada natamani nikupe mwangaza na ukweli kuhusu Freemasonry, lakini siruhusiwi kwa sababu nilisha apa kiapo kuwa ibaki Siri, siwezi kutoa Siri au kufanya yale makosa ya makusudi kama Steven Charles kanumba. Pia wewe ni raia wa kawaida hivyo hupaswi kujua haya mambo mazito katika ulimwengu wa Siri.
 
Unamtisha Sio?
 
Tanzania ni taifa ni taifa Baba au taifa teule la Muumba baada ya Israel au mashariki ya kati kumkataa Yesu, na vikundi vyote vya siri (falme na mamlaka) vinajua ila havisemi ili watu waendlee kuamini uongo.

Mathayo 21:43
Kwa sababu hiyo nawaambia, Ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, nao watapewa taifa lingine lenye kuzaa matunda yake.
 
[emoji1787]
 
Kama kweli Tanzania ni taifa teule lakini tupo hivi siku akitukataa itakuwaje sasa?taifa teule haiwezi kuwa na wananchi wenye ujinga mwingi kiasi hikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kweli Tanzania ni taifa teule lakini tupo hivi siku akitukataa itakuwaje sasa?taifa teule haiwezi kuwa na wananchi wenye ujinga mwingi kiasi hikiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muumba haangalii kama watu na wanadamu wasngaliavyo ndo maana akasema.

1korintho 1:27
27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;

28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;

29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.



[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…