Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujinga
Maradhi
Umaskini
Intelligent businessman hii ndio ID yako nyingine au??You're just a conspiracy theorist. Hata hujui international code numbering inatokana na Nini. Go and revise your books. +254 - Kenya +255 - Tanzania +256 - Uganda +257 - Burundi etc etc, There is nothing so freemasonry about 255, stop indoctrinating Tanzanians.
# No malice to anybody
Mental case.Mtoa mada natamani nikupe mwangaza na ukweli kuhusu Freemasonry, lakini siruhusiwi kwa sababu nilisha apa kiapo kuwa ibaki Siri, siwezi kutoa Siri au kufanya yale makosa ya makusudi kama Steven Charles kanumba. Pia wewe ni raia wa kawaida hivyo hupaswi kujua haya mambo mazito katika ulimwengu wa Siri.
Kwamba ni chai?
Mambo vp ? Umeadimika ndugu yangu..You're just a conspiracy theorist. Hata hujui international code numbering inatokana na Nini. Go and revise your books. +254 - Kenya +255 - Tanzania +256 - Uganda +257 - Burundi etc etc, There is nothing so freemasonry about 255, stop indoctrinating Tanzanians.
# No malice to anybody
Kwamba ni chai?
😂😂Default subnet mask ya Tanzania ni 255.255.255.255
We ni IT? Mleta mada kajaa ananiuliza why.
Ya mufindi hii 😂😂😂😂
Daaaaaah watu mnakosaga kazi sanaFreemasons ni kikundi cha siri kinacho ratibu na kuongoza kila kitu katika hii dunia. Kikundi hicho cha siri huratibu mambo yake kwa kushirikiana na baadhi ya wawakilishi wake wachache katika kila nchi. Unaweza kuona mambo yakiwa yanaendelea kutokea katika dunia kama kawaida lakini kuna siri kubwa iliyo nyuma ya pazia, amini nakwambia kwamba mambo hayo hayajiendei yenyewe, bali wapo wanayofanya mambo hayo yaende kama yalivyo. Freemasonry kikundi cha siri huratibu mambo yote nyuma ya pazia.
Freemasons hutumia code za siri zilizofichika nyuma ya jambo unaloliona la kawaida ama kudhani kwamba limetokea kwa bahati nasibu tu, si hivyo bali ni mipango kabambe iliyosukwa kwa ajili ya kutekeleza azma yao ya kuongoza na kuitawala dunia kwa siri kubwa huku wakitekeleza malengo yao waliyo yakusudia.
Siri ya Namba 255
Namba 255 ni utambulisho wa nchi ya Tanzania kwenye upigaji wa simu za kimataifa, kwa mfano kama mtu akipiga simu kutoka nje ya Tanzania basi atalazimika kuanza na +255 na kisha kuendelea na namba nyingine, hivyo kwa lugha nyingine naweza kusema namba hii ndio utambulisho wa nchi ya Tanzania kimataifa.
Je, unadhani imekuwa ni coincidence kwa nchi ya Tanzania kupewa namba hii 255 yenye maajabu ya kila namna? La hasha, namba hii imetolewa wakijua fika siri iliyopo kwenye namba hii na hivyo kupitia namba hii 255 taifa la Tanzania limewekwa kwenye mikono ya freemasons.
Katika freemasonry, namba zina maana maalum na mara nyingi hutumika kuwakilisha dhana ya kimaadili na kiroho iliyofichika. angalia uchambuzi huu wa namba hii 255.
Mfumo wa Computer
Katika mfumo wa computer taarifa huwekwa kwa mfumo wa bytes, na kwahivyo namba 255 ni namba ya mwisho (maximum) inayoweza kuwakilishwa na byte moja (8 bits). Kwa mfano katika Computer byte moja inaweza kuwa na thamani yoyote kati ya 0 hadi 255. Hapo tunaona kwamba namba 255 inamaanisha ukamilifu na utoshelevu.
Katika mfumo rangi wa RGB (Red, Green, Blue) katika computer, thamani ya juu kabisa katika rangi ni 255. Code ya RGB (255,255,255) inawakilisha rangi nyeupe. kwahivyo inaonyesha kwamba namba 255 ni namba kubwa na yenye heshima kwa sababu rangi nyeupe ni rangi ya juu kabisa ikiwakilisha mchanganyiko wa rangi zote zilizopo duniani.
Katika Mahesabu
Ukichukua 2+5+5 = 12: Namba 12 ina umuhimu mkubwa katika mafundisho ya freemasonry, ikiwa na maana ya ukamilifu na utaratibu (Kama vile mwaka una miezi 12 na makabila 12 ya wana wa Israeli). Hivyo hapa kwa muktadha huu tumeona pia namba hii 255 ikionesha ukamilifu na utoshelevu.
Ukichukua namba 12 na kuichambua utapata 1 na 2, sasa 1+2=3: hapa tunapata siri nyingine iliyofichika kwenye namba hii 255, kwani namba 3 ni mojawapo ya namba muhimu katika freemasonry, inawakilisha utatu na ushirikiano ya nguvu tatu kuu yaani Hekima Nguvu na Uzuri, ama utatu mtakatifu katika ukristo.
Hitimisho
Kwa hivyo kupitia namba hii 255 tumeona kwamba namba hii inawakilisha taifa la Tanzania na namba hii ni namba iliyotolewa na freemasons kuwakilisha tabia na sifa za taifa hili la Tanzania. Kwa maana halisi ni kwamba namba hii imebeba ukamilifu na utoshelevu, kuna mambo mengi ya siri sijaweza kuyaeleza kwenye uzi huu kutokana na unyeti wake.
Nakaribisha maoni na maswali.
Ongezea naMore like:
Ujinga
Ujinga
Ujinga
Solution:
Elimu
Elimu
Elimu
Yeah Mkuu, mufindi moja hiyooYa mufindi hii