Hapo kwa Khadija kwa miaka hio kama alikua ni mkristo alikua ni katoliki ila sio katoliki ya roma maana hayo maeneo hadi kwa sasa ni ngome za orthodox
ulichokuwa unabisha nini? halafu unajitapa mimi ni mweupe, leta ushahidi sasa kuwa khadija alikuwa mkatoliki wa ordhodox, sio maneno yako tu,
Nukuu muhimu tunayoweza
kuichukua kutoka kwa Ignatius wa Loyola ni hii:
“That we may be altogether of the same mind and in conformity with the Church herself,
if she shall have defined anything to be black which appears to our eyes to be white, we
ought in like manner to pronounce it to be black. For we must undoubtingly believe, that
the Spirit of our Lord Jesus Christ, and the Spirit of the Orthodox Church His Spouse, by
which Spirit we are governed and directed to Salvation, is the same.” [Ignatius Loyola,
Spiritual Exercises, Rule 13 Henry Bettenson, ed., Documents of the Christian Church,
2nd ed. (London: Oxford University Press, 1963), p. 260.]
“Kwamba wote tuwe na nia moja na kukubaliana na kanisa, kama limetafsiri kitu
chochote kuwa ni cheusi wakati kinaonekana machoni mwetu kuwa ni cheupe, tunapaswa
kukitangaza kuwa ni cheusi. Maana bila shaka tunapaswa kuamini, kwamba roho wa
bwana wetu Yesu kristo, na roho wa kanisa la Orthodox ndugu yake, roho ambaye
anatuongoza katika wokovu, ni yule yule.” [Ignatius Loyola, Spiritual Exercises, Rule 13
Henry Bettenson, ed., Documents of the Christian Church, 2nd ed. (London: Oxford
University Press, 1963), p. 260.]
Kwa mujibu wa Ignatius Loyola, kanisa Katoliki na kanisa la Orthodox ni ndugu
mmoja na wote wanaongozwa na roho mmoja.