Freemasons ndani ya Makanisa

Kitu Golden Ratio kabisa
 
So shetani amesha mchukua Elon Musk? Na kampa mauwezo yote si ndio? Ndio maana ana mapesa? Space X? Safari za mwezini? Mars? Tesla? Milki milki
 
 
Kwahio wewe hio reference unatoa wapi Mana hapa duniani umesema kila jina la anaeabudiwa ni shetani ilhali naww upo hapa hapa duniani inamana hata ww hayo uyasemayo ni shetani tu ndio kakutuma usituhangaishe.ww mwenyewe ndio wale wale
 
Roma Cathoric 😳😳😳
 
Nini maana ya ROHO YA UNABII?
 
Kwa mujibu wa uzi wako, Makanisa mengi yanafuata uovu. Je! Unaweza kuyataja machache yanafuata Kweli?
 
 
1. Na wewe huwa unaponena kwa lugha wengine wanakuelewa?

2. Ni Makanisa yapi yanayonena kwa lugha na yapi yasiyonena? Nini ushauri wako, yanayonena waache au yasiyonena nayo yaanze kunena?

3. Kuna utofauti gani kati ya kujazwa Roho Mtakatifu na kunena kwa lugha?
 
SIO KILA ANAYEJAZWA ROHO ANANENA KWA LUGHA


UNAELEWA HILO?

Matendo 7:55 NEN - Bible.com​



Lakini yeye Stefano, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alikaza macho mbinguni, akaona utukufu wa Mungu, na Yesu akiwa amesimama mkono wa kuume wa Mungu.
Utajuaje kuwa mtu kajazwa Roho Mtakatifu?
 
Mtaje alau mtu mmoja wa zama hizi unayeamini ana karama ya kunena kwa lugha.
 
Napenda sana kunena kwa lugha, na ninampenda sana ROHO MTAKATIFU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…