900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
NDIYO MNYAMA NA JOKA WA UFUNUO 13 mama wa makahabaUlokole ulianzishwa na freemason kwa lengo kuu ni kulipunguza nguvu kanisa katoliki kitu ambacho still bado wameshindwa. Kanisa katoliki ndilo kanisa lenye waumini wengi sana duniani
Asojua maana haambiwi maanaKwa nini huwa unapenda kumpinga Muhammad na Allah , scholar wenu wamejirekodi kabisa Wana sema Uislamu unakufa
Allah amesema wazi Uislamu ulianza ul kama kituko na utarudi kuwa kituko , akasema tena ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986
He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Nilisha kwambia kama wewe mwanaume Pinga hayo maandiko , Allah kwenye Hadith nyingine anasema Uislamu ulianza kama nyoka atokae kwenye shimo Yani devil na utarudi kwenye shimoAsojua maana haambiwi maana
Endelea na ujinga wako
hua sina mda wa kuongea na mjinga kma ww na yule mwenzako che mitogaNilisha kwambia kama wewe mwanaume Pinga hayo maandiko , Allah kwenye Hadith nyingine anasema Uislamu ulianza kama nyoka atokae kwenye shimo Yani devil na utarudi kwenye shimo
Wewe kama mwanaume kweli Pinga hayo maandiko ya waislamu , Pinga nakusubiriahua sina mda wa kuongea na mjinga kma ww na yule mwenzako che mitoga
Biblia og wanayo wa orthodox........hata hao wakatoliki kwa waorthodox wanaonekana nao kama wa protestanti tuKazi kweli kweli, Kanisa ni moja, Takatifu , la Mitume, nalo ni Katoliki tu. Hiyo bibilia unayoisoma na ku quote wamekuandalia wao na wanaijua kuliko wewe. Hao vichaa kina Hellen G white, Smith ambaye alikuwa ni freemason kabisa yani wamekuja juzi tu na wamebeba mabumunda kama wewe.
Haujui kitu unaongea. Kasome tena.Biblia og wanayo wa orthodox........hata hao wakatoliki kwa waorthodox wanaonekana nao kama wa protestanti tu
Wewe ndo haujui kitu mnapumbazwa tu na hao warumi.....biblia ya kwanza ilikua kwenye lugha ya kiebrania na kigiriki na kanisa la mwanzo lilikua moja tu la orthodox tamaa za kutawala ndo zikawakimbiza warumi kujitenga na wenzao wa orthodox.........acheni kupumbazwa hasa kwa huku africa na hao waabudu mashetani wakirumiHaujui kitu unaongea. Kasome tena.
hakuna kanisa ambalo freemason hawajaingia , kam lipo litajeNimegungua mtoa mada ni msabato,lkn ndani ya sabato kuna freemason
je unajua UISLAMU ulianzishwa na ukatoliki? je unajua uislamu ni moja ya dini kuu 3 ambazo shetani na freemason wanazitumiz kuunganisha DINI MOJA NA SERIKALI MOJA?Kausome Uislamu hlf uje kutoa ushahidi hpa
Tatizo watu wengi mumekaririshwa vitu vibaya na wasiokua Waislamu ila Uislamu haupo ivo
Ukitaka maelezo zaidi nambie nikuelekeze ukausome Uislamu hlf uje kuleta ushahidi hpa
hakuna aliyekuzuia ,ila unatakiwa ujue unamuabudu naniSiachi kwenda kanisan
Ukatoliki ulianza lini?je unajua UISLAMU ulianzishwa na ukatoliki? je unajua uislamu ni moja ya dini kuu 3 ambazo shetani na freemason wanazitumiz kuunganisha DINI MOJA NA SERIKALI MOJA?
Subiri nakuja kukupa ushahidi
inasikitisha na inaonesha ni jinsi gani huko makanisani jinsi shetani alivyofanikiwa,Malogo designers muda sio mrefu wataitwa mafreemason. Maana k
Inaathali gani kwa waumini. Au inawatupia majini.
Unaweza kuweka ushahidi wakirfreemason kutenganisha maoni yako na mafreemason
Kanisa likisajiriwa hilo linakuwa ni TAASISI, GENERAL CONFERENCE SDA Ni taasisi/kanisaKwanza ningependa Nikusahihishe Mwandishi, GCSDA sio Kanisa, Ni Taasisi Kama ilivyo Taasisi nyingine za Makanisa MbaliMbali ambayo inasimamia maswala yote ya Dhehebu la Kisabato iliwemo kusimamia Vitengo MbaliMbali vya Kanisa Duniani Kote.
Kanisa Katoliki la Kirumi lilianzishwa karibu 314 AD na Mfalme wa kipagani KonstantinoUkatoliki ulianza lini?
Tatizo lako una majibu yko pmbni kwaio hutaki hoja za wengine we endelea tu na maisha ykoje unajua UISLAMU ulianzishwa na ukatoliki? je unajua uislamu ni moja ya dini kuu 3 ambazo shetani na freemason wanazitumiz kuunganisha DINI MOJA NA SERIKALI MOJA?
Subiri nakuja kukupa ushahidi
huijui historia ya smith, usilete jazba,Waasisi wa Adventist movement ni wa hovyo, Smith alikuwa freemason na inafahamika. Wao kutwa kushift attention kwenda kwa kanisa katoliki lakini hawataki kuangalia giza katika kikanisa chao cha hovyo.
napenda tujadiliane kwa hoja, kama unadhani UISLAMU ni dini salama umepotea, ndio maana nimekuuliza unajua hata kuwa uislamu umeanzishwa na wakatoliki? je unajua kuwa hata mtume wako muhamad alibashiriwa utume na PADRI WARAQA,Tatizo lako una majibu yko pmbni kwaio hutaki hoja za wengine we endelea tu na maisha yko