Freemasons ndani ya Makanisa

Freemasons ndani ya Makanisa

Kwa nini huwa unapenda kumpinga Muhammad na Allah , scholar wenu wamejirekodi kabisa Wana sema Uislamu unakufa
Allah amesema wazi Uislamu ulianza ul kama kituko na utarudi kuwa kituko , akasema tena ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo

“Islam began as something strange and will go back to being strange, so glad tidings to the strangers.’”Sunan Ibn Majah 3986

He also reported Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Asojua maana haambiwi maana

Endelea na ujinga wako
 
Asojua maana haambiwi maana

Endelea na ujinga wako
Nilisha kwambia kama wewe mwanaume Pinga hayo maandiko , Allah kwenye Hadith nyingine anasema Uislamu ulianza kama nyoka atokae kwenye shimo Yani devil na utarudi kwenye shimo
 
Nilisha kwambia kama wewe mwanaume Pinga hayo maandiko , Allah kwenye Hadith nyingine anasema Uislamu ulianza kama nyoka atokae kwenye shimo Yani devil na utarudi kwenye shimo
hua sina mda wa kuongea na mjinga kma ww na yule mwenzako che mitoga
 
Kazi kweli kweli, Kanisa ni moja, Takatifu , la Mitume, nalo ni Katoliki tu. Hiyo bibilia unayoisoma na ku quote wamekuandalia wao na wanaijua kuliko wewe. Hao vichaa kina Hellen G white, Smith ambaye alikuwa ni freemason kabisa yani wamekuja juzi tu na wamebeba mabumunda kama wewe.
Biblia og wanayo wa orthodox........hata hao wakatoliki kwa waorthodox wanaonekana nao kama wa protestanti tu
 
Haujui kitu unaongea. Kasome tena.
Wewe ndo haujui kitu mnapumbazwa tu na hao warumi.....biblia ya kwanza ilikua kwenye lugha ya kiebrania na kigiriki na kanisa la mwanzo lilikua moja tu la orthodox tamaa za kutawala ndo zikawakimbiza warumi kujitenga na wenzao wa orthodox.........acheni kupumbazwa hasa kwa huku africa na hao waabudu mashetani wakirumi
 
Nimegungua mtoa mada ni msabato,lkn ndani ya sabato kuna freemason
hakuna kanisa ambalo freemason hawajaingia , kam lipo litaje

nitakupa ushahidi wakutosha

ila yanatofautiana viwango tu....kwa mfano kwa SDA, waumini ni wasomaji hivo, uwepo wao ni mdogo.... kwa roma catholic, ulokole,n.k huko wamejaa hadi na alama zimewekwa nje ya makanisa
 
Kausome Uislamu hlf uje kutoa ushahidi hpa

Tatizo watu wengi mumekaririshwa vitu vibaya na wasiokua Waislamu ila Uislamu haupo ivo

Ukitaka maelezo zaidi nambie nikuelekeze ukausome Uislamu hlf uje kuleta ushahidi hpa
je unajua UISLAMU ulianzishwa na ukatoliki? je unajua uislamu ni moja ya dini kuu 3 ambazo shetani na freemason wanazitumiz kuunganisha DINI MOJA NA SERIKALI MOJA?

Subiri nakuja kukupa ushahidi
 
je unajua UISLAMU ulianzishwa na ukatoliki? je unajua uislamu ni moja ya dini kuu 3 ambazo shetani na freemason wanazitumiz kuunganisha DINI MOJA NA SERIKALI MOJA?

Subiri nakuja kukupa ushahidi
Ukatoliki ulianza lini?
 
Malogo designers muda sio mrefu wataitwa mafreemason. Maana k

Inaathali gani kwa waumini. Au inawatupia majini.


Unaweza kuweka ushahidi wakirfreemason kutenganisha maoni yako na mafreemason
inasikitisha na inaonesha ni jinsi gani huko makanisani jinsi shetani alivyofanikiwa,

unaweza kujua unamuabudu Mungu wa kweli kumbe hujui unachokibaudu,
 
Kwanza ningependa Nikusahihishe Mwandishi, GCSDA sio Kanisa, Ni Taasisi Kama ilivyo Taasisi nyingine za Makanisa MbaliMbali ambayo inasimamia maswala yote ya Dhehebu la Kisabato iliwemo kusimamia Vitengo MbaliMbali vya Kanisa Duniani Kote.
Kanisa likisajiriwa hilo linakuwa ni TAASISI, GENERAL CONFERENCE SDA Ni taasisi/kanisa
 
je unajua UISLAMU ulianzishwa na ukatoliki? je unajua uislamu ni moja ya dini kuu 3 ambazo shetani na freemason wanazitumiz kuunganisha DINI MOJA NA SERIKALI MOJA?

Subiri nakuja kukupa ushahidi
Tatizo lako una majibu yko pmbni kwaio hutaki hoja za wengine we endelea tu na maisha yko
 
Waasisi wa Adventist movement ni wa hovyo, Smith alikuwa freemason na inafahamika. Wao kutwa kushift attention kwenda kwa kanisa katoliki lakini hawataki kuangalia giza katika kikanisa chao cha hovyo.
huijui historia ya smith, usilete jazba,
 
Tatizo lako una majibu yko pmbni kwaio hutaki hoja za wengine we endelea tu na maisha yko
napenda tujadiliane kwa hoja, kama unadhani UISLAMU ni dini salama umepotea, ndio maana nimekuuliza unajua hata kuwa uislamu umeanzishwa na wakatoliki? je unajua kuwa hata mtume wako muhamad alibashiriwa utume na PADRI WARAQA,


Hivi unajua Papa anaruhusiwa kuingia msikitini na viatu ila ninyi wengine mnavua?

Halafu mkija huku nje mnatulaumu tunaingia patakatifu na viatu....vipi mlishindwa kumvua papa viatu? au ndio tuseme ndiye grand master wa Islam?
1643838706570.png
 
Back
Top Bottom