Freemasons ndani ya Makanisa

Biblia ya mwanzo ilikua kwenye lugha ya kiebrania na kigiriki tu, shida zikaanza walipoanza kutafsiri .....kuna wengine wakatumia huo mwanya kufanya yao, kuna vitu vikaongezwa na vingine kupunguzwa tokana na matakwa yao...... ndo maana kwa upande ule mwingine hawataki kabisa kitabu chao kufanyiwa mabadiliko yeyote kitabu chao kipo kama awali kilivyokua kipindi imani yao inaanza
 
Sijasomea tafsiri, nazungumzia mchakato wa uhundwaji wake. Je una uwalali gan had madhehebu yote yakubaliane na mawazo ya wachache kuwa hiki ni sahh hiki sio sahihi?

Na hvyo ambavyo sio sahh kuvipiga ban kabsa watu wasiweze pata access ya kuvisoma kiurahis? Na kipi kitoa usahh kwa vilivyopo na kipi hakitoe usahh kwa vile vili yokataliwa?
 
Naam Qur'an ipo safi na itabakia ivo ivo mpka mwisho wa dunia
 
Tafsiri ndo imeleta mkanganyiko wa maswala ya imani .....na ndio imesababisha hadi wewe unakua na hayo maswali maana kwa sasa imani kwa wengi imekua tu kama kumeza theory mashuleni bila kufanya practical............hiko kipande cha uhalali au kutokua halali ni kipengele kirefu sana ila jua tu kwamba ulimwengu una natural laws zake na imani nyingi zinacheza hapo na hawa watu wengi wanaovuruga maisha ya kiimani ya watu ni kwamba wanajitahidi sana wafiche ukweli wa hizo natural laws za ulimwengu ili wapate kumtawala binadamu......imani halisia za mwanzoni kabisa kabla hazijachakachuliwa na hawa watawala na secret societies za sasa zilikua zinatoa maarifa ambayo mtu tu akiweza ku practice kile alichofundishwa manifestation ya yale mafundisho inatokea kwny maisha yake , hali ya sasa ni tofauti, mtu anaamini hiki ila anachokiishi ni kingine na hii haijatokea kwa bahati mbaya kuna watu wanaleta huu mkanganyiko kwa makusudi
 
Mi navyojua SDA Masalia ndio waliosalia na wanafuata maandiko ya mwanzilishi wao E.G. White. Wengine wote ni Freemason tu.
 
huijui historia ya smith, usilete jazba,
Naijua na sio siri, ni freemason na aliwadanganya sana kuhusu utabiri wa mwisho wa dunia ni kichaa tu anaweza kuwaelewa hawa watu. NAFAHAMU KUHUSU ADVENTIST MOVEMENT. Ni kazi ya shetani kabisa yani. Unabii wa uongo na chuki dhidi ya kweli ndio unaowasumbua ndio maana mpo mpo tu, kutwa kudaidai vitu vya ajabu mara jumamosi mara sijui 666 , sahivi hamtaki 5G. Vichaa kwelikweli.
 
wewe huna hoja ila unamatusi na jazba,uliyoongea , huna ushahidi nikikwambia leta
 
Sawa nimedanganywa sasa leta nusu ya aya iliyobadilishwa wala sikupi kazi.ya kutafuta aya nzima mm nimekwambia nusu.ya.Aya tu
MUHAMMAD ANASEMA ALIPEWA AYA SABA TU KATIKA MAISHA YAKE: SWALI HIZI AYA ZINGINE ZENYE SURA 114 KAWAPA NANI NA HIZO AYA SABA ALIZOPEWA MUHAMMAD ZIKO WAPI KATIKA QUR'AN?
Qur'an 15:87. Na tumekupa Aya saba zinazo somwa mara kwa mara, na Qur'ani Tukufu.

MUHAMMAD KASEMA QUR'AN ILIYOANDIKWA KWA MAKARATASI NI KUKIFUNZA UCHAWI USHAHIDI HUU HAPA SWALI WAPI MUHAMMAD ALIKUWA NA QUR'AN YA MAKARATASI JE HII QUR'AN YA MAKARATASI MMEPATA NANI MAANA MUHAMMAD HAITAMBUI
Qur'an 6:7. Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri

HAWA WALIOIGAWA QUR'AN VIPANDE VIPANDE WANAITWA WAKINA NANI JE HIYO QUR'AN WALIIGAWA NI HII YA MAKARATASI AMBAYO NI UCHAWI AMA QUR'AN IPI ILIYOGAWANYWA VIPANDE VIPANDE?
Qur'an 15:91-93
91. Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.
92. Basi Naapa kwa Mola wako Mlezi! Tutawahoji wote,
93. Kwa waliyo kuwa wakiyatenda.
 
MUHAMMAD ALIKUWA ANAVALIA MAVAZI YA KIKATOLIKI WAKATI WA KUSALI : SWALI ANAYEVAA VAZI LA KIKATOLIKI ANAITWA MKATOLIKI AMA MWISLAMU?


Ilisimuliwa Na 'Ubadah bin Samit alisema:
“Mtume Muhammad s.a.w (tulimuona) akitoka kwetu siku moja, akiwa amevaa vazi la Kirumi [kikatoliki] la sufu na mikono nyembamba. Na Alituongoza katika maombi akiwa amevaa hilo, na si kitu kingine chochote. ”
حَدَّثَنَا مُحَمَّدُ بْنُ عُثْمَانَ بْنِ كَرَامَةَ، حَدَّثَنَا أَبُو أُسَامَةَ، حَدَّثَنَا الأَحْوَصُ بْنُ حَكِيمٍ، عَنْ خَالِدِ بْنِ مَعْدَانَ، عَنْ عُبَادَةَ بْنِ الصَّامِتِ، قَالَ خَرَجَ عَلَيْنَا رَسُولُ اللَّهِ ـ صلى الله عليه وسلم ـ ذَاتَ يَوْمٍ وَعَلَيْهِ جُبَّةٌ رُومِيَّةٌ مِنْ صُوفٍ ضَيِّقَةُ الْكُمَّيْنِ فَصَلَّى بِنَا فِيهَا لَيْسَ عَلَيْهِ شَىْءٌ غَيْرُهَا ‏.‏
Sunnah kitabu cha 32 Juzuu ya 4, Hadithi 3563


MUHAMMAD ALIRUDI KWA BABA YAKE WA IMANI PADRI WARAQA BIN NAUFAL MKATOLIKI KUEZI MAVAZI YA KATOLIKI AMBAYE ALIMWAMBIA JIBASHIRIE MWENYEWE KUWA WEWE NI MTUME WA UMMA HUU wakishirikiana na Mke Muhammad aitwaye Bibi Khadija

Huyu PADRI WARAQA BIN NAUFU NI MKRISTO KUTOKA ROMANI KATOLIKI USHAHIDI HUU CHINI SIKU WANAMPA UTUME MUHAMMAD MWENYEZI MUNGU ALIKUWA SHAHIDI TU KATIKA TUKIO HILO

Qur'an 4:79. Jema lilio kufikia limetokana na Mwenyezi Mungu. Na ovu lilio kusibu linatokana na nafsi yako. Nasi tumekutuma kwa watu uwe ni Mtume. Na Mwenyezi Mungu ni shahidi wa kutosha.
Qur'an 13:43. Na walio kufuru wanasema: Wewe hukutumwa. Sema: Mwenyezi Mungu anatosha kuwa shahidi baina yangu na nyinyi, na pia yule mwenye ilimu ya Kitabu.
Qur'an 36:3. Hakika wewe ni miongoni mwa walio tumwa.
HIZO JUU NDIYO KAULI ZA MKEWE MUHAMMAD AITWAYE KHADIJA NA PADRI WARAQA BIN NAUFAL MKATOLIKI

USHAHIDI WA HADITHI HUU HAPA MUHAMMAD ALIPEWA UTUME NA PADRI WARAQA BIN NAUFAL MKRISITO MKATOLIKI NA MKEWE KHADIJA NA BIBI KHADIJA NDIYE MWANADAMU WA KWANZA ULIMWENGUNI KUSILIMU KUWA MWISLAMU KISHA AKAFUATA ALI BIN TALIB

Amesimuliw na Aisha:
(mke wa Mtume) Kuanza (kwa Uvuvio wa Kimungu) kwa Mtume wa Allah kulikuwa katika hali ya ndoto za kweli katika usingizi wake, kwani hakuwahi kuwa na ndoto lakini ikawa kweli na wazi kama mwangaza wa mchana. Halafu akaanza kupenda kujitenga, kwa hivyo alikuwa akijitenga kwenye pango la Hira ambapo alikuwa akimwabudu Mwenyezi Mungu mfululizo kwa usiku mwingi kabla ya kurudi kwa familia yake kuchukua chakula cha lazima kwa ajili ya kukaa.
Alirudi kwa (mkewe) Khadija tena kuchukua chakula chake (vile vile chakula) vivyo hivyo, mpaka siku moja alipokea Mwongozo wakati alikuwa katika pango la Hira. Mtu Mmoja alimjia na kumwambia asome. Mtume alijibu, "Sijui kusoma." Mtume akaongeza, "Kisha Mtu Yule alinishika (kwa nguvu) na akanibana sana hadi nikahisi shida. Kisha akaniachia na akaniuliza tena nisome, nami nikajibu," Sijui kusoma.
" Hapo alinishika tena na kunibonyeza kwa mara ya pili mpaka nikahisi kuzimia. Kisha akaniachia na kuniuliza nisome, lakini tena nikamjibu.'Sijui kusoma.' Hapo alinishika kwa mara ya tatu na kunibana mpaka nikafadhaika, kisha akaniachia na kusema, 'Soma, kwa Jina la Bwana wako Ambaye ameumba (vyote vilivyopo), . Amemuumba binaadamu kwa tone la damu Na Mola wako ni Mkarimu zaidi. Ambaye amefundisha maandishi kwa kalamu, na amemfundisha mwanadamu yale asiyokuwa akiyajua. (Qur'an 96.1-5).
Kisha Mtume akarudi na hali hiyo na misuli kati ya shingo yake na mabega ilikuwa ikitetemeka mpaka alipomjia Khadija (mkewe) na kusema, "Nifunike " Alimfunika, na hali ya hofu ilipoisha, akamwambia Khadija, "Ewe Khadija! Kuna shida gani kwangu Mimi Muhammad ? Niliogopa kwamba kitu kibaya kimenipata na Najihofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani na kuniharibu akili yangu na kunizuga! ."
Kisha akamwambia hadithi hiyo ilivyotokea pangoni. Khadija alisema, "Hapana! Bali pokea habari njema! Wallahi,Mimi Naona Umekwisha kuwa Mtume Wa Mwenyezi Mungu hatakufedhehesha kamwe, kwani kwa Mwenyezi Mungu unaweka uhusiano mzuri na jamaa na jamaa yako, unasema ukweli, unasaidia masikini na wanyonge, uwakaribishe wageni wako sana na uwasaidie wale waliopatwa na misiba. " Khadija kisha akampeleka kwa Waraqa bin Naufil, mtoto wa mjomba wa baba yake Khadija.
Huyu Padri Waraqa bin Naufal alikuwa amebadilisha Dini na kuingia katika Dini ya Kikristo kwa Muda Mrefu Sana katika Kipindi hicho cha Kabla ya Kuja Dini Mpya ya Uislamu na alikuwa akiandika Kiarabu na Alikuwa anaandika injili kwa Kiarabu vile vile Mwenyezi Mungu aliyotaka ayaandike. Alikuwa mzee na alikuwa amepoteza macho yake. Khadija alisema (kwa Waraqa), "Ewe binamu yangu! Sikiliza nini mpwa wako Nini anataka kusema." Waraqa akasema, "Ewe mpwa wangu! Umeona nini?" Kisha Mtume akaelezea kila kitu alichokiona.
Waraqa alisema, "Huyu ndiye Malaika (Jibrili) yule aliyetumwa kwa Musa. Basi jibashirie Mwenyewe (Muhammad) Wewe Ni Mtume wa Umma huu.Laiti ningekuwa mchanga." Aliongeza taarifa nyingine. Mtume wa Mwenyezi Mungu aliuliza, "Je! Watu hawa watanifukuza?" Waraqa alisema, "Ndio, kwani hakuna mtu aliyeleta mfano kama huu ulioleta, lakini alitendewa kwa uadui. Ikiwa ningeendelea kuwa hai hadi siku yako unapoanza kuhubiri hii Dini yako Mpya ya Uislamu Basi ningekuunga mkono sana mpwa wangu.
" Lakini muda mfupi baadaye Padri Waraqa bin Naufal alikufa Ndipo Bibi Khadija Mke wa Mtume akawa ndiye Mtu wa Kwanza Ulimwenguni Kusilimu na hakutanguliwa na Mtu yeyote kisha Akafuata Ali bin Talib huyu alisilimu akiwa na Miaka kumi na Uvuvio wa Wahyi ulikatika(ulimamima) kwa muda baada ya Padri waraqa bin Naufal na Mtume wa Allah alihuzunika sana kwa Kufa Huyu padrie waraqa bin Naufal.
رواه عائشة: (زوجة الرسول) كانت بداية رسول الله صلى الله عليه وسلم أحلامًا حقيقية في نومه ، فلم يحلم قط بل صار حقيقيًا وواضحًا كالنهار. ثم بدأ في حب العزلة ، فكان ينعزل عن غار حراء حيث كان يعبد الله باستمرار لعدة ليال قبل أن يعود إلى أهله ليأخذ ما يلزمهم من طعام للإقامة. عاد إلى (زوجته) خديجة مرة أخرى ليأخذ طعامه (وكذلك طعامه) بنفس الطريقة ، حتى استلم ذات يوم المرشد وهو في غار حراء. جاءه شخص ما وقال له أن يقرأ. فأجاب الرسول: لا أعرف القراءة. وأضاف الرسول: ثم أمسكني الرجل (بعنف) وشدني حتى شعرت بالمتاعب ، ثم سمح لي بالذهاب وطلب مني القراءة مرة أخرى ، فقلت: لا أعرف كيف أقرأ. "ثم أمسك بي مرة أخرى وضغط علي مرة ثانية حتى شعرت بالإغماء. ثم سمح لي بالذهاب وطلب مني القراءة ، لكني أجبت مرة أخرى." لا أعرف كيف أقرأ ". هناك أمسك بي مرة ثالثة وأمسك بي حتى انزعجت ، ثم أطلقني وقال: اقرأ باسم ربك الذي خلق (كل ما هو) ، خلق الإنسان بقطعة قماش. اقرأ! والرب أكرم وقد علم الإنسان ما لم يعرفه (القرآن 96.1-5).
ثم عاد الرسول بالحالة واهتزت العضلات بين رقبته وكتفيه حتى جاء إلى خديجة (زوجته) وقال: غطني غطائها ، وعندما انتهت حالة الخوف ، قالت لخديجة. "يا خديجة! ما خطبتي يا محمد؟" كنت أخشى أن يحدث لي شيء سيء وكنت أخشى أن تتأخر روحي بسبب الشياطين وتدمر عقلي وتنام! ثم أخبرته قصة ما حدث في الكهف .. فقالت خديجة: لا! ولكن تلقي البشارة! والله أظنك صرت رسولا ولن يعلمك الله في الحال فالله يقيم علاقات طيبة مع أقاربك فتقول الحق وتساعد الفقراء والضعفاء وأنت مضياف جدا وتساعد الذين عانوا. المآسي. ثم أخذته خديجة إلى ورقة بن نوفيل ، ابن عم والد خديجة. كان هذا القس ورقة بن نوفل قد اعتنق المسيحية لفترة طويلة جدًا في عصر ما قبل الإسلام وكان يكتب باللغة العربية وكان يكتب الإنجيل باللغة العربية كما أراده الله أن يكتبها. كان قد تقدم في السن وفقد بصره. قالت خديجة (لورقة): "يا ابن عمي! اسمع ما يقول ابن أخيك ما يقول". قال ورقة: يا ابن أخي ما رأيت؟ ثم وصف النبي كل ما رآه.
قال ورقة: هذا هو الملاك (جبريل) الذي أرسل إلى موسى ، فتنبأ على نفسك (محمد). أنت رسول هذه الأمة ، لاني كنت طفلاً صغيراً. وأضاف بيانا آخر. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: هل يبعدني هؤلاء؟ قال ورقة: "نعم ، لأن أحداً لم يضرب مثالاً كهذا ، لكنه تصرف بعدائية. لو بقيت على قيد الحياة حتى يومك تبدأ في الدعوة إلى هذا الدين الجديد للإسلام ، فسأكون داعماً جداً لابن أخي". لكن خديجة زوجة الرسول صارت أول إنسان في العالم يعتنق الإسلام ولم يسبقه أحد.
Sahih al-Bukhari 4953 Juzuu Ya 6,kitabu Cha 60, Hadith 478


 
Hivi bado wasabato wapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazee wa kuunga unga ngano na vigano!!! Brain drained with the west
 
Mada murua ya kujifunza zaidi ya yale tuyajuayo.

Shukran mkuu nimejifunza kitu kimoja kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…