Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
Point.Kwa uelewa wangu wao ndo wanakualika wewe ujiunge sio wewe ujipeleke, ukiwa na rafiki ambaye yupo tayar Freemason yeye ndiye atakuharika baada ya hapo watakufanyia mahojiano, hawa watu wapo selective wanachagua watu ambao wanajiweza kiuchumi, na wapo smart kichwan
Ila ina maaan members wote wamechaguana wenyewe? hakuna aliyejipeka?