Freemasons tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni “wajenzi huru”

Point.
Ila ina maaan members wote wamechaguana wenyewe? hakuna aliyejipeka?
 
Mbona wanasema Freemasonry ilianzishwa Bavaria ujerumani mei mosi baada ya kufutwa kundi la Jesuit ulaya.
1776, na Adam Weishapt

Hii imekaaje, au illuminati sio haohao Freemasons.
Illuminati ndio ilianzia Bavaria, na kimsingi Illuminati na Freemason ni jamii mbili tofauti, ingawa illuminati wameweza kupenyeza kwa siri members wao kwenye karibu societies na institutions zote kubwa duniani. Hii ni kusema hata ndani ya Freemason wamo members wa Illuminati. Sijui kama naeleweka hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…