ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Kama CHADEMA na watu wanaomuunga mkono wangetengeneza slogan moja rahisi, kwa mfano #FreeTunduLissu, halafu kila siku ikaonekana kwenye mitandao kwenye post za viongozi, taasisi, mastaa, influencers na hata kwenye mijadala ambayo sio ya siasa baada ya muda isingekuwa kelele kubwa sana?
Imagine kila unapofungua post ya mtu maarufu unakutana na hashtag #FreeTunduLissu.Unafungua post nyingine.#FreeTunduLissu,Unaingia kwa kiongozi #FreeTunduLissu
Baada ya muda serikali yenyewe ingeanza kuona kwamba suala hilo limekuwa perception kubwa kwa jamii na lingehitaji namna ya kulishughulikia. Chadema hapo tu ndo mlikosea lishindwa kuifanya issue iwe campaign endelevu ya public attention.
Watanzania wana mambo mengi sana. Leo kuna Lissu, kesho miaka 30 ya bongo fleva, kesho kutwa zuchu kazaa, wiki inayofuata story nyingine ya simba na yanga. Attention ya watu inahamia haraka sana.Au mnaona hata kama hashtag ingejaa kila kona, bado isingebadilisha chochote?