Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Mkuu naomba kuuliza ushuru wa scania mende 114 P 380 Ni ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ushuru wa scania mende ( 8x4 Rigid 26 to 32 tonnes) inategemea ni mwaka gani, mfano scania mende ya mwaka 2000 ushuru ni $18,524.75 (tsh.42,412,407.69) na mende ya mwaka 1997 ushuru ni $15,884.48 (tsh. 36,445,902.39) hii ni kama inavyoonyesha kwenye TRA calculator.Mkuu naomba kuuliza ushuru wa scania mende 114 P 380 Ni ngapi ?
Storage ni $0.05 plus VAT kwa kilo (kg), siku tatu za mwanzo kuanzia siku mzigo umewasili hazitozwi storage.Naomba gharama ya storage Kwa Siku Hapo Julius Nyerere International Airport
hili linawezekana mkuu, ila kuna gharama za ziada utatozwa kama tutakubaliana. gharama hizo ni pamoja na parking kwa siku pindi gari itakapotoka, gharama ya jumla pesa tutakazolipa (disbursement cost) ambayo ni 5% mpaka 7%. Pia tutakubaliana mda wa mwisho wa wewe kufanya malipo na kuchukua mzigo wako.Nina gari Lexus, inaingia wiki ijayo tar 4 bandari ya Dar ila nimekwama hela ya kuitoa bandarini, nahisi ikikaa sana wataichokonoa. Je kuna arrangement yyte ya nyie kunisaidia hata gari mbaki nayo mpaka nitakapolipa gharama zenu?
Mkuu karibu utupe kazi ya ku-clear gari yako tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka na kwa bei nzuri, gharama zetu (agency fee) tutakutoza shillingi laki mbili tu (200,000).
Ili mzigo usipate gharama za storage utatakiwa utukabidhi nakala (copy) za document za mzigo husika siku saba (7) kabla ya gari kuwasili bandarini. Document hizo ni Bill of Lading, Invoice, packing list na cheti cha ukaguzi (motor vehicle inspection certificate). Hii itasaidia kujua gharama za kodi/ushuru (as per TRA calculator), gharama za bandari (handling charges) na pia gharama za wakala wa meli (shipping line).
Karibu sana mkuu.
Sasa mkuu gari inafika tarehe 12 mwezi wa nne na kuna documents ninazo walinitumia hebu nielekeze ofisi zenu zinapatikana wap ili niweze kujaMkuu karibu utupe kazi ya ku-clear gari yako tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka na kwa bei nzuri, gharama zetu (agency fee) tutakutoza shillingi laki mbili tu (200,000).
Ili mzigo usipate gharama za storage utatakiwa utukabidhi nakala (copy) za document za mzigo husika siku saba (7) kabla ya gari kuwasili bandarini. Document hizo ni Bill of Lading, Invoice, packing list na cheti cha ukaguzi (motor vehicle inspection certificate). Hii itasaidia kujua gharama za kodi/ushuru (as per TRA calculator), gharama za bandari (handling charges) na pia gharama za wakala wa meli (shipping line).
Karibu sana mkuu.
Unapataje hizo.gharama za calculation za tra kulingana na gari husika. Naomba uziweke wazi hapa hapa ili tujue wengi kabla ya kuagiza. Au tupe link za tra kama unazo.Toyota Volt mpaka inafika Dar es Salaam ni Dollar 2,500 mpaka Dollar 3,800 (inategemea mwaka na condition ya gari husika. mfano T/Voltz ya 2002 ni USD 2,550 mpaka inafika Dar as per this link: BE FORWARD : 2002 TOYOTA Voltz
Kodi as per TRA calculator ni USD 2,705.90 (TSH. 6,613,755.43), gharama za Bandari ni USD 102 (THS. 230,520) na gharama ya sisi kukutolea gari bandarini (Agency Fee) ni TSH. 200,000.
Karibu Sana Mkuu.
Nzuri sanaS.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nafuu. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa yeyote atakaye tuletea/kutuunganisha na mteja.
Tunapatikana; 2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Wasiliana nasi; email: info@salink.co.tz
call: +255718 866 651/+255764 846 845.
whatsapp: +255718 866 651
Pia tembelea tovuti: salink.co.tz
Karibuni Sana.
Sasa mkuu gari inafika tarehe 12 mwezi wa nne na kuna documents ninazo walinitumia hebu nielekeze ofisi zenu zinapatikana wap ili niweze kuja
Tunapatikana kwa mawasiliano hapa chini;Sasa mkuu gari inafika tarehe 12 mwezi wa nne na kuna documents ninazo walinitumia hebu nielekeze ofisi zenu zinapatikana wap ili niweze kuja
Gharama za ushuru ziko wazi sana mkuu, link hapa chini itakusaidia kujua kodi ya gari utakayopaswa kulipa kabla haujafanya maamuzi ya kununua gari nje ya nchi.Unapataje hizo.gharama za calculation za tra kulingana na gari husika. Naomba uziweke wazi hapa hapa ili tujue wengi kabla ya kuagiza. Au tupe link za tra kama unazo.
Bei za magari Japan ziko wazi sana tatizo linaanzia hapa bongo zokifika mambo hayako wazi sijui kwann wanaficha wangeweka mambo hadharan, wanakosa wateja wengi Kwa kuhofia gharama zao za kificho.
Zama za utandawazi hiz waache uzaman wao
Karibu Sana.Uko vzur hongera sana nilikuwa na wazo la kuagiza gari sasa kulitoa ndio ikawa ishu basi kupitia nyie mambo yashakuwa rahis upande wangu nitawatafuta...