FRELIMO imechezea uchaguzi, wanalinywa!

FRELIMO imechezea uchaguzi, wanalinywa!

Chama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 2500 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
Chama rafiki na nani? Huko hakujawahi kuwa na utulivu.
 
Chama rafiki FRELIMO wamecheza na uchaguzi sasa vurugu kama zote wafungwa zaidi ya 2500 wametoroka gerezani. Ni suala la muda tu Msumbiji mpya inazaliwa.
Hatari hii.....
 
hivi hao FRELIMO ni wakubwa kuliko nchi.? watu hawatakiwi na wananchi walio wengi kwanini jeshi la nchi lisiingilie kati na kuwatimua hao FRELIMO haiwezekani nchi inaharibika kisa wapuuzi wachache wanaojali matumbo yao tu..ni wakati wa usalama wa taifa na jeshi kuwasaidia wanachj kupata haki yao wanayoipigania..ila afrika ni laana yaani taasisi zenye uwezo wa kumtoa rais kwenye madaraka tena ya wizi yasiyo halali zipo tu zinatizama na kuwalinda mabazazi.!
 
Hapo mjinga mmoja anataka kuwa Rais hata kwa wengine kufa, nyuma akidanganywa na machawa wake ili waendelee tu kula keki ya Taifa kwa kuwaslave mamilioni
Huyo mjinga ni nani?
 
Back
Top Bottom